Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, natafuta chuo hapa Dar es salaam wanachotoa professional course za IT, specifically nahitaji kusoma c#, na system admin
Nilisoma form four nikapata three nikiwa Na B/math B, Bio C, Chem D, phys E Geo D, kiswz B+,language D, hist D na civ D nikakosa post selikalin nikaenda private form five comb EGM form six pia...
Zamani watu waliubeza sana ualimu.Wachache waliipenda kazi hii,miaka ya 2008 -2015 vijana walikula ajira bila kuomba.Tatizo nn mbona mahitaji ni mengi hasa shule za msingi?
Sent using Jamii...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nataka kujua kama kuna chuo kinatoa kozi yeyote inayohusiana na masuala ya Wakimbizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana jf,ningependa kujua kama wizara ya elimu ikinominate majina kwenda commonwealth kwajili ya scholarship huwa inataarifu successful applicants pekee au hata waliokosa?
Sent using Jamii...
Habari wana jf, hivi hii issue ikoje coz nimeiona kwenye magrup ya watsup
P.O.BOX 1923 Dodoma - Tanzania. Tel: 026 232 2848. Fax: Email: ps@tamisemi .go.tz. Website: www.tamisemi.go.tz.
Online...
Nimeingia kwenye website ya chuo chetu pendwa cha DIT nikijua kawaida yao wanataka ufaulu wa C kwenye masomo matatu ya science na mathematics. Lakini katika kuangalia sehemu ile ya ONLINE...
Wadau, kuna kijana yatima kamaliza kidato cha nne nina mfadhili. Jana nimeletewa form zinazoonesha amechaguliwa na wizara ya elimu na ufundi, kwenda kujiunga na chuo cha ufundi moshi ambacho ni...
Wadau tukutane hapa jamvini wale tuliowahi kwenda kusoma hizi kozi za muda mfupi India. Kitu gani umejifunza ukiwa huko india kinaweza kusaidia nchi yetu ya Tanzania. Na chuo gani unaona trainer...
B.SC. IN METEOROLOGY
Meteorology is a branch of physical science that has wide applications and services in the following four main areas:
1.Agricultural Meteorology: This area consists of...
Wakuu mambo vipi?
Naulizia mwenye uzoefu na course tajwa hapo juu. Ningependa kujua kutoka kwa wazoefu wa degree program hii, admission wanasema wanaweza kusajili hata yule ambaye hakusoma...
Wana JF Nimatumaini Mko poa saana, poleeni na Majukumu yenu ya Kulijenga Taifa Japo sementi imeshuka bei ila Upande wa vyakula sokoni bei haikamatiki,..
Twende pamoja na Uzi huu. Kazi ya ualimu...
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Nilikua naomba msaada mnifahamishe mtu aliyesoma Bachelor of Arts in Economics anaweza Fanya kazi gani?
Natanguliza shukrani zangu kwenu wakuu.
Wakuu nimetoka kusoma tangazo sio mda nipo Kijijini huku nanjilinji vipi wakuu kutokana na vigezo Kua kwa English ni wahitimu wa 2014 to 17 na mimi ni 2018 nizamie?
Sent using Jamii Forums...
Mimi ni binti nilifanya mtihani mwaka juzi nikapata D2 na c1....mwaka Jana nikafanya tens nimepata D2 ila masomo yamejirudia yaleyale je naweza kujiunga na kozi ya marketing pale NIT...tafadharr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.