Habari!
Naomba kuuliza fursa za ajira kwa upande wa sayansi za komputa katika ngazi ya diploma, je ina soko?
Je inauhitaji katika makampuni, pia katika kuanzisha project zako binafsi kama vile...
Habari ya Asubuhi, kama umeamka vyema na pia umemka katika hali isiyo njema usihofu it`s just a new day with the new lots of possibilities. Katika Maisha Hakuna majuto bali ni mafunzo tu ya...
Tanzania tumejaaliwa na vijana wengi sana ambao ndio chachu ya mendeleo na mabadiliko chanya kwa Taifa letu. Bila kusahau tuna Vyuo Vikuu na Taasisi 64 zinazotoa elimu juu (Kuanzia Certificate...
Jaman me nnaswal nimemaliza form four mwaka jana 2018 nna division two ya 20 na nmebalanc comb zote natak niend chuo eti niende kipi ambacho bora sana pia au kuna ushaur wowote nnaeza kupata...
NI MWANAFUNZI WA PCB ANA "D" MASOMO YOTE KASORO PHY AMEPATA "E" NA KUPATA III 13
KUTOKANA NA WIMBI LA AJILA NA WEPESI WA KUJIAJILI....... UNAMSHAULI KUSOMA KOZI GANI YA SAYANSI KWA DIGRII...
Mkutano wa berlin ulifanyika siku ya jumapili 15/ November /1884 hadi febuary 1885.
Mkutano huu ulijumuisha wajumbe wa nchi 14 za ulaya na wajumbe kutoka USA.
Mkutano huu uliitishwa na aliekua...
Sifa za kujiunga na form five ni zipi?
Je ni sawa private na public schools?
Nisaidie maana kuna mtu ana d tupu anawenda private school kufanya interview ya kujiunga na form five.
Ndugu wanajukwaa habari zenu
Nimekuwa nikipitia NECTA GUIDE BOOK Mara kadhaa Ila nimeshindwa kujua tofauti kati vigezo vya kusoma certificate na diploma kwa course za art mfano Business...
Wakuu,
Msaidieni huyu ndugu yangu,
Ni mwalimu ngazi ya cheti na anataka kujiendeleza katika kozi tajwa.
Msaada tafadhali kulingana na swali.
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa yeyote ambae yupo udom social science naomba anipelekee fomu zangu ofisi ya katibu mkuu wizara ya Elimu,sayans na teknolojia jengo la taaluma no, 10, . kama upo tayari Tafadhali nisaidie...
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Nimeanzisha Uzi huu ilikupeana uzoefu wa boarding school.
Yaani mwanafunzi anatakiwa expect nini akienda boarding school
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.