FACTS CHACHE KUHUSU MAISHA.
By Malisa GJ,
1. Watu wengi wanaojitapa kuwa wana fedha nyingi, ukweli ni kwamba hawana fedha. Wenye fedha huwa hawajitapi. Huwezi kumuona Bill Gates akijiita ‘don’...
Wana jamii forum, ninamdogo wangu amemaliza form 4 na maks hizi.
CHEMISTRY C
BIOLOGY C
MATH D
PHIYSICS F
ENGLISH D
KISWAHILI C
amesoma shule ya technical moshi na maichana, naombe mwenye ushauri...
Habari ndugu zangu...
naomba mnisaidie kujua vyuo vizuri vinavyotoa mafunzo ya IT, ICT au COMPUTER SCIENCE..Ngazi ya DIPLOMA ....na fees zao kama ikiwezekana..
Kwasababu nataka mwakani nikasomee...
Habari za mihangaiko wanajamii forum,
Naomba anaye elewa vizuri vyuo hivi viwili ( university of computing centre & collage of information and technology engineering).
Kati ya vyuo hivyo viwili...
Wakuu naomben ushaur,,nmemalza form 6 na nkapata div.3 kwa comb ya CBG,,chemistry S,,Biology E na Geography D,,je naweza kusomea nn kwa matokeo hayo??,ntashukuru kwa ushauri...
Habar wakuu
Naomba kujulishwa ni namna gan naweza kujifunza kiingereza mimi mwenyewe na kuweza kuongea bila kusitasita, kwa sasa naweza kwa kiwango kidogo sana
Ni vitabu gani nisome...
Kufa utakufa hakika! Kufa hutakufa hakika! Hizi ni kauli mbili ambazo tofaut zake ni (h)
Tuwe makini maana shetan yupo na anafanya kazi kwa kasi sana! Unajua kabsa hii ni nyeupe ila yeye...
Habari zenu wadau
Kama kichwa cha habari kinavyosema mimi ni mmoja kati ya waliopangiwa chuo cha mipango mwanza
Je ni course gani wanazitoa?
Je ni bora niende huko au nitafute mbadala mwingine...
Darasa bado linaendelea youtube kwa lugha ya Kiswahili nimepost kipindi kipya,
Ingia YouTube andika Director Chuma utanipata
Karibu utumie vema fursa hii ya kupata au kuongeza ujuzi bure kwa...
Habari wakuu naomba kujua mitihani ya cdfp hapa tz inatolewa wapi na vipi kuhusu hii certificate INA umuhimu wowote tz .maana naona inaemphasiziwa sana marekani .....nasoma bachelor ya...
Mungu alimpa kila mtu kipaji cha kuzaliwa kuna wanasoka wanamasumbwi wachekeshaji wakimbiaji waimbaji n.k
kama maneno hayo juu ni kweli basi bila shaka hayati Shaaban Robert na William...
Habarini wapendwa.
Mm ni mwanafunzi wa board ya Ugavi na manunuzi Psptb. Nilikuwa naomba kwa wale ambao wameshasoma P3 msaada wa soft copies za notes,
Kwa wale watakao sema niende board...
Habari za usiku wakuu.
Bila kupoteza muda,niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi ni kijana wa kiume ambaye nilihitimu kidato cha sita miaka 4 iliyopita lakini sikufanikiwa kwenda chuo kikuu kwani...
Habari wakuu,
Kuna wadogo zetu wamepata matokeo yao ya kidato cha nne leo. Ni ngwe muhimu sana kwenye maisha yao, kwa sababu ndio inayotoa upepo awe nani baadae kitaaluma kwa uchaguzi anaofanya...
Naishauri Serikali yangu iajiri Walimu wenye division two na One kwenye vyeti vyao vya kidato cha nne (olevel) na kidato cha sita (Alevel) kwenye shule zetu za Serikali, kwa sababu Walimu hawa...
Habari zenu wadau natumaini wote muwazima
M nimefaulu form 4 nimebalance combination ya HGL.
Je naeza soma HGL na nikachukua Na Basic applied mathematics
Sent using Jamii Forums mobile app
Call for Application
The general Public is hereby informed that, the National Institute for International Education (NIIED) under the Ministry of Education of the Republic of Korea is offering...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.