UJUZI MAALUM
"Watu wanaoacha kujifunza kwa sababu tu wamemaliza shule, daima wataangamia kwenye umasikini bila ya matumaini pasipokujali wanafanya kazi gani. Nija ya mafanikio ni njia ya kutafuta...
Ukiitoa DIT naomba ushauri katika hivi vyuo vifuatavyo ni kipi sitajuta kama mhusika atafanikiwa kupata udahili na yeye akaenda kusoma itakiwavyo. Ufaulu wake ni C(3) na D (4) pamoja na English...
Habari ndugu zng,nmehitimu kidato cha nne nmepata div 1:15 nachukua masomo ya biashara, na kombi zote zmebalance lkn staki kwenda advnc nataka niende chuo,naomben ushaur wenu course ya kwenda...
Habari Wakuu,
Hii ni kwa Walimu na Wadau elimu hasa kwa shule za Sekondari, kuna hii kazi ya NECTA ya Photo Entry kwa wanafunzi wa Kidato cha Pili na Nne kwa mwaka 2019.
Nafanya kazi hii popote...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu naomba kujua hizi ajira tunazosikia zinaombewa vibali kila kukicha zinatoka lini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikuwa sipendi sheria inayosema "Chomekea muda wote"
Hapa hadi nilipewa spaa ya miezi 3 kutokana na kosa hilo kujirudia kila siku huku jibu langu likiwa lile ile ,"nimesahau mwalimu ila...
Hi,
I am eager to get my driving license in Tanzania, however I am 16 years old. The Tanzanian law book says 16 years of age for motorbikes. Even the TRA website says 16 years of age for...
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Nimejaribu kupitia pitia guide book ya TCU sema kuna course sijazielewa vizuri kama hizi za "bachelor of arts in ..."
Naombeni wakuu mnieleweshe...
Kumekuwa na watu wanahoji hizi PhD zetu Tanzania kutokana na utendaji wa hawa wanasiasa unavyotia mashaka. Unadhani ni candidate wapi wanapashwa kufanyiwa academic credentials audit to...
na mdogo wangu amemaliza form 4 kapata MATH C ,CHEM D ,BIO D PHZ F ,KISW C ,GEO D ,ENG D HIST F NA CIV D aende chuo gan chenye soko au aludie phy , chem na bio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana MMU naombeni mnifahamishe kama wahitimu wa kidato cha nne 2018 ambao hawakupata alama zakuwawezesha kwenda A level je ni kweli wamepangiwa vyuo? Na kama ni kweli wapi naweza angalia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.