Habarizenu wana JF
Naombeni ushauri ni Kampuni gani nzuri ya kufanyia field kwa maan natarajia kufanya hivyo, nasoma Zanzibar, nipo ICT na biashara.
Mi mwenyewe nilipendelea sana hizi hapa
TTCL...
The Public Affairs Section of the United States Embassy in Dar es Salaam is seeking qualified candidates for the Fulbright Foreign Student Program.
Online applications are now available starting...
SCHOLARSHIP TENABLE IN PEOPLE’S REPUBLIC OF CHINA FOR THE ACADEMIC YEAR 2019/2020
The General Public is hereby informed that, the Chinese Government has opened new scholarships for Undergraduate...
Naombeni ushauri. Nlipigiwa simu na chuo cha sauti kuwa wamenichagua lakini kwenye list ya majina lakwangu halimo. Nlipowauliza wakanijibu kuwa kama chuo husika kimekupigia simu basi umechaguliwa...
Chinua Anchebe v/s Ngungi wa thiongo
ni matumaini wengi wetu tumewahi kukutana na haya majina kwenye makava ya vitabu darasani au hata nyumbani
Chinua Anchebe anasifika kwa kazi kama "A man of...
Habarizenu wana JF
Naombeni ushauri nikampuni gani nzuri ya kufanyia field coz soon natarajia kufanya ivo, nasoma Zanzibar, nipo ICT na biashara.
Mi mwenyewe nilipendelea sana hizi hapa
TTCL...
wakuu,
wasalaam,
nina rafik yangu mmoja anatarajia kuingia chuo panapo majaaliwa. wazo lake ni kusomea geology na combination anayosom ni egm .hataki banking wal uhasibu je ,inweza kumtoa hii...
Nahitaji kujiendeleza but baada ya kuleta vigezo kusoma degree ni kuanzia GPA 3 na mimi nina 2.9 nimekosa vigezo nahitaji ushauri wenu nifanyeje nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana jf Nilikuwa nahitaji kujiendleza but baada ya kuleta vigezo vipya vya GPA ya 3 nimekosa vigezo vya kupiga bachelor ushauri wenu nafanya nini ili niweze kujiendeleza.
Sent using Jamii...
Sijui kama viongozi wizara ya elimu huwa wanafanya tathmini ya perfomance Shule za serikali na zile za Private?
Miaka yote Shule za private zinaongoza katika top ten..kwanini isiwe za...
Nilikuwa na Nina Maswali ya Research Naomba Kusaidiwa kidogo japo kwa maelezo mafupi! Kama mnavyojua ugumu wa research
QUESTION .1
What would you say is the single most important characteristic...
Wadau kama maelezo yanavyosema hapo juu naomba kitabu chenye syntax and stylistics kama ni maduka naomba kuelekezwa nikanunue kwa Sasa nipo kisarawe pwani
Jaman nimepata uhamisho kwenda wilaya hiyo naomba kujua uzuri na ubaya wa wilaya hiyo tafadhari hasa hali ya hewa, huduma za jamii miundombinu nk saidi plz coz kama hakueleweki ni punch huo uhamisho.
Wazazi na vijana wakati huu wa kuamua tupite njia gani ili tufike tutakapo kuna njia ya kuanzia certificate/diploma halafu kuomba kudahiliwa kwa degree. Ni vizuri tujue vigezo husika.
Nimeviweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.