Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba kuuliza kama vyeti vya wahitimu wa chuo kikuu mwecau viko tayari. Ahadi ilitolewa kuwa vitakuwa tayari mwezi wa pili mwaka huu, je kuna mhitimu wa mwecau wa mwaka 2018 ameshachukua cheti...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Anayehitaji SOFTCOPY SCHEME of work kwa masomo Biology f1, f2, f3, f4. Geography f1, f2, f3, f4, Mathematics f3 Chemistry f4, f3, f2, f1 haijakamilika Atazipata kwangu. Nami nahitaji SOFTCOPY...
4 Reactions
74 Replies
10K Views
hasa hasa grade A ualimu ningependa kujuzwa A inaanzia ngap na B
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Aise ifunda saivi ni moto wa kuotea mbaliii , shule imekarabatiwa huwezi amini ni ya govt. Mazingira yake duuh I'm proud to be student of Ifunda the glory
1 Reactions
38 Replies
10K Views
Dear fellow Pugu Boys, its been a while since we last met at breakpoint. I am calling upon all members to the pugu alumni association a general meeting to be held at breakpoint Kijitonyama on...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Ukweli Mchungu. Hata tujenge madaraja kila mto, tujenge barabara za lami mpaka vijijini, tununue ndege kila halmashauri yake n.k hakuna maendeleo ya maana tutafikia bila kuwa na ELIMU BORA...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kati ya clinical medical na clinical officer nisome ipi coz nishamaliza form4 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
829 Views
Naombeni msaada...nilifanya mtihani mwaka 2016 nikapata c1na D2 ..mwaka jana nikarisit nikapata D2 je ninaweza kupata nafasi ya diploma chuo cha veta ...je ni kozi gani zuri nishaurini jamani...
0 Reactions
3 Replies
950 Views
ndugu wanajamvi kama kichwa habar knavyojieleza, naomba msaada wenu wa kuvijua vyuo vya sheria kwa ngaz ya cheto coz kunamdogoangu almalza kdato cha nne mwaka 2012 xo anataka akajiunge mwaka huu...
0 Reactions
44 Replies
37K Views
Naomba kuuliza maeneo ambapo mhitimu wa ba in economics and statistics anaweza kufanya kazi...pia fursa kwny soko la ajira kwa anaefahamu Asante!!! Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
5 Replies
6K Views
Nimekuwa nikijaribu kutafuta mwandishi wa hadithi fupi fupi za sungura na fisi na sijafanikiwa Je kuna mwenye kumfahamu mtu huyo?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu msaada mwenye kitabu Cha Chand upande wa physics ,,nahitaji kuiona front cover yake msaada tafadhali. #WAHUNI SIO WATU WAZURI
0 Reactions
27 Replies
3K Views
....
0 Reactions
3 Replies
863 Views
The Discovery of Oil and Gas in Tanzania created a demand of Local Experties In Tanzania. Yet Govt can not afford to rely on experties Required Based on the Discovery of Oil and Gas In Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Wakuu nimerudi tena...msaada wa shule ya advance private nchepuo wa sayansi ambayo inaendeleza vipaji vya michezo...dogo anapenda na anaweza kucheza mpira wa miguu so nataka asome huku anaendeleza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jf husika na kichwa cha habari hapo juu mim ni mhitimu wa kidato cha nne nimepanga kisomea kozi ya clinical officer msaada wenu tafadhali
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habarini za muda huu wakuu naomba msaada mwenye guide book NACTE 2018/2019 kwenye website NACTE inagima kushuka Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari jamani, naomba kuuliza hivi, Hivi inawezekana mtu aliyesomea Certificate in community health kujiunga na diploma/certificate in clinical medicine? msaada wa mawazo jamani
0 Reactions
21 Replies
31K Views
Kwa matokeo ya form 4 haya anaweza kujiendeleza kusoma kozi zipi? Kiswahili=C Civics ===D English===D Geography=D Biology====D Chemistry==F Physics====F B/maths===F History====F Saidieni wazo
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wandugu.naomba kupata taarifa juu ya gharama za VETA na entrance requirement maana nina kijana kamaliza form 4 nataka akapate maalifa zaidi huko chuoni Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Back
Top Bottom