Niliapply chuo juzi Jana nimeletewa message ambayo imeandikwa admited baada ya kupiga sim chuo husika wakasema nimechaguliwa nimeuliza watu ambao waliwai kuapply wananiambia majibu hutoka baada ya...
Dogo amepata D NNE katika masomo ya Civics,kiswahl ,Geography na English ukimuuliza anataka kusoma anapenda nini? anasema chochote ambacho wajuzi watamshauri yupo tayari kwa ngazi ya...
Tuko kwenye kipindi ambacho propaganda inatawala kila kitu kiasi kwamba kizazi chetu kinaendeshwa na watu wachache wenye uelewa flani ambao unaweza ukadhani ni mkubwa kuliko wenigne. Kizazi chetu...
Habarini Wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, Nimejaribu kutafuta uptodate list ya wahasibu wenye CPA wanaotambulika na NBAA kwenye website yao nimeshindwa kupata, Msaada tafadhali
Naombeni ushauri nilifanya mtihani 2016 nikapata c1 na D2 ....nikarisit kwaka jana nimepata D2...nilikuwa hahitaji kwenda veta je ninaweza kupata diploma ya course gani nzuri...tafadharii
Sent...
Nilikuwa nahitaji maioni na mtanzamo ni kweli kwakuwa ajira zimekuwa ngumu hivyo haina haja ya kusoma badala yake tufanye biadhara au ujasiliamali...??
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau wa elimu mi naitwa David.
Nilibahatika kwenda kidato cha tano comb pcb mwaka jana(2018/2019) kwa ufaulu wa division 2 kidato cha 4.
Kwa bahati mbya nilifukuzwa shule mwak jana mwshoni...
Habari wanajf
Niliomba vyuo vinne kwa first round nikakosa vyote,second round nikakosa pia kwa vyuo vilivyotoa majina mapema na wakaniambia niombe tena third round nikafanya HVO, Mungu ni mwema...
Wadau nimesikia kuwa kupitia Wizara ya Elimu wanataka wazazi wenye watoto waliochaguliwa kwenda kidato cha kwanza katika shule za serikali na wakaenda Private basi wazazi wanatakiwa kuandika...
Mtaa mmoja Kila siku yamapita magari zaidi ya kumi kushusha watoto. Yaani vile watoto wanaongea 'broken' ni balaa.
Utasikia.....
'' Me is going hooome...''
'' Me is need to pass ''
'' me is my...
Habari za asubuhi wadau wa elimu,
Nina rafiki yangu yupo nje ya nchi na mara nyingi namuelekeza namna ya kuongea kiswahili, kKavutiwa na hii lugha na mara nyingi ananiuliza maswali.
Sasa sina...
Nikiwa kama Mtanzania mwenzenu nimejitolea kutoa mafunzo ya Video production bure YouTube kwa Lugha ya Kiswahili (ingia YouTube tafuta Director Chuma)
Kwa kile nilichonacho nimeona ni bora...
Nilifanya necta advanced 2016 nikafel nilipata principal moja,nikarisit 2017 nikafel;SWALI LANGU
Je nirudie tena ama nianze kusoma collage?
Na je nikitaka kufanya yote masomo matatu nakuwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.