Wakuu habari za muda huu.
Nina kijana mtoto wa ndugu yangu yuko kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Serikali (Kata), nahitaji kumuhamisha kwenda shule za vipaji maalumu za Serikali...
Kumekuwa na ongezeko la matamko na vitisho kwa walimu katika nyanja hii ya elimu.
Lakini je tatizo ni mwalimu ndio maana elimu inashuka?
Nafikiri jibu ni hapana.
Kuna mambo mengi yasiyo tajwa juu...
habar wadau..
juz nlkuwa nakagua daftar za mwanangu sasa nmeshka daftar la hisabat kama cjaelewa iv.. nanukuu maelezo ya mwalm
'' witiri ni namba zote znazogawanyka kwa mbil na kubak moja
mfano...
Wakuu naanza kwa kuwasalimu salaam.
Leo nimeonelea niwaletee hili swala la kanuni za somo la hisabati. Sitaongelea kanuni zote, bali nataka kuongelea kanuni moja tu ya kuzidisha. Kwa kawaida...
Naomba ushauri ndugu zangu,
Kwa Mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne mwenye "C" mbili za Phyisics na Hesabu na "D" tatu za Chemistry, Geography na English, ni kozi zipi zinamfaa kati ya kozi za...
Kwanza nianze na kwa pole kwa wale waliowahi kuahidiwa kusaidiwa kufanya application bure, na hawakusaidiwa. Kwa mujibu wa kitabu cha The laws of power kuna moja inasema usije ukategemea kusaidiwa...
Nataka kurudia somo mmoja tu la physics kwa wakazi wa morogoro tution gani ipo vizuri au mwalimu gani yupo vizuri kwenye somo la physics msaada please
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana JF.
Mdogo wangu amemaliza form 4 mwaka 2018 kwa Division 2.21 C zote.
anataka kwenda kuanza certificate ya electrical and electronics.
Ni chuo gani anaweza pata kwa hapa TANZANIA...
Nmeamini kweli mwalimu wa kweli ni maisha ya mtaani. Yaan kiukweli unaanza kuishi maisha halisi pale unapoacha au kumaliza shule. Kiukweli hii elimu yetu kama hatua za haraka zisipofanyika basi...
Sote tunapenda watoto wetu wafanye vizuri.
Ni fahari kwa mzazi mtoto akifanya vizuri, inapendeza sana na ni jambo zuri mno, lakini inapotokea mtoto anafaulu too much kulinganisha na wenzie kuna...
Wakuu kwa mwenye copy ama pdf ya hiko kitabu cha capitalist niger by chika onyeani msaada.
Mazungumzo yapo pia ka utahitaji refund.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wan JF, natumai ni wazima....., nina dogo langu kamaliza Form 4 na matokeo yake ni Civ-C, Bios-C, Chem-C, Maths-D, Eng-C, Hist-C, Geo-C, Kisw-D, Litreture-D, anaeza piga kozi gani chuo...
Habari
Mdogo wangu Matokeo ya Form IV kapata Div 4 points 28 Pia anapenda Mambo ya kilimo na ufugaji je anaweza pata Chuo ?
Vyuo Vya kilimo na Ufugaji hapa nchini Viko wapi ... Kamamtanusaidia...
Wakubwa shikamoni Mimi nna division2 ya point19 nna phys-C,chem-C & Bio-B je naweza kwenda C.O,,kama naweza kwenda je vyuo gani naweza kwenda?
Sent using Jamii Forums mobile app
MIKOKO
Mikoko ni aina ya miti ambayo inapatikana pembezoni mwa bahari ya hindi kuanzia pwani ya Mtwara mpaka Tanga na kuzunguka pwani ya Unguja, Pemba na Mafia katika nchi ya Tanzania. Mikoko ni...
Naomba msaada wakubwa
kama kichwa cha habari kinavyo jieleza
naombeni msaada mambo ya kuzingatia katika uandishi wa barua ya kazi ila katika kampuni ndogo tu na ninacho hitaji ila anuani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.