Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Samahanini natafuta mwenye soft copy za material ya physics ya A level mimi ninayo ya chemistry A level Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani me ni muhitimu wa kitado cha nne mwaka 2018. Nahitaji kujiuna na chuo cha transport bt vigezo cjavijua. Msaada tafadhali[emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
*TANGAZO* Habari wapendwa, Mimi *ARNOLD SWAI* nilikuwa safarini na gari la MTEI EXPRESS kutoka Kahama-Moshi lakin *kuna mtu ameshuka na begi langu la mgongoni* lenye Laptopt, Vitambulisho, Card...
0 Reactions
4 Replies
977 Views
Kuna hiki chuo cha private ambacho kinatoa courses za NACTE Level 4-6 za Information and Communication Technology. Ningependa kujua kwa wale wanao kifahamu au wanaowafahamu waliohitimu hapo kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Mimi ni mwanafunzi nimemaliz form four na Mungu amesaidia nimepata div 1 naomba msaada kwa MTU anajua kituo cha pre form five kwa dar es salaam Mimi nipo tabata
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau mimi nina material ya chemistry na biology natafuta mwenye material ya Physics A level hasa ya MGOTE na O level pia ya mwandishi yeyote tu badilishane kwa chemistry na biology hata kama...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Habari zenu, Kwanza kabisa kama kichwa kijielezavyo hapo juu ,leo nimemaua kuzungumizia kuhusu wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2018 na wanatarajia kujiunga na vyuo mbalimbali kwa masomo...
0 Reactions
1 Replies
11K Views
Jamani msaada wenu wana jf kwa anayefahamu jinsi ya kuhama chuo. Mim ni mwanafunz Wa UDOM mwaka Wa kwanza nataka kuhamia mwl nyerere, Sababu kuu ya kuhama Mama yangu ni mgonjwa sana nahitaji kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu mwenye uzoefu na utoaji wa Result Transcript ya NACTE aje anisaidie kwa Waliomaliza Septemba 2018 Transcript lini kwa kada ya Afya
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za muda huu wadau,Nimekuwa nikifuatilia matokea ya shule tajwa hapo kwa miaka miwili sasa naona kitaaluma wapo vizuri,nilikuwa naomba kama kuna mdau anaweza kusaidia kunipa taarifa zaidi...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu heshima kwenu.. Kijana wangu amemaliza form four kapata 1 ya 16..combination zote zimebalance sasa tatizo anataka kwenda chuo ataki kwenda form five na six na anataka kusoma mechanical...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mimi nihitimu form four 2013 na kupata ufaulu wa division III-28, kama ifuatavyo; . PHYSICS C, . CHEMISTRY D . BIOLOGY. C, . B.MATHEMATICS. C, . HISTORY. C, . GEOGRAPHY. C, . ENGLISH. C...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Mie ni Mdau wa shule hizo kwa vile nina vijana ambao wamehitimu kidato cha nne mwaka 2018 maajabu matokeo ya wanafunzi wa St. Marks hayapo Pia kwa St. Mathews matokeo yametolewa kwa wanafunzi...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Ningependa kujua kama unaweza kurisiti somo moja tu kwa A level yaani kwa mfano PCB unaweza kurisiti kwa kufanya somo la Physics peke yake Mimi nimemaliza form six mwaka jana na matokeo yangu...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari wana JF naombeni mnijuze kuhusu hizi kozi mbili utofauti wake, wigo katika kazi pia ipi ni nzuri kuisoma
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu? Leo nimeamua kuja na swali ambalo kiukweli limekuwa likinitatiza ila kwa kuwa hapa tunakutana watu mbalimbali wenye upeo tofauti naweza kutoa sintofahamu iliyopo kichwani...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya baraza la mitihani kuamua kutoa matoke ya mitihani kwa kutumia namba badala ya majina wazazi wanapata taabu kupata matokeo toka wale watoto watukutu Nionavyo mimi haki yao watahiniwa...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Wajuzi nisaidieni kunipambanulia hili la elimu yetu ya Tanzania na uelekeo wake. Mwanzoni mwa utawala wa Magufuli baada ya uteuzi wa baraza la mawaziri na kuona limesheheni pHDs na maprof...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni kweli kuwa wanafunz huw wanawaza San juu ya kufaulu mitihan yao,hasa kwa kidato cha NNE ndipo penye changamoto sana .Sasa inapotoke ameshindwa kufaulu anajikuta ameshikwa na butwaa hajui nn cha...
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Nimesikia kuna baadhi ya watu wameanza kushawishi wenzao waachana na kingereza kwa kuwa tu wao binafsi wana matatizo na hiyo lugha. Hii lugha ni mhimu sana katika dunia ya leo. Kila mtu duniani...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom