Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mjini mipango,ukiwa uko vizuri kuna walio vizuri zaidi yako. Pamoja na uwezo mkubwa kimpira ilio nao Juventus kule Italy,ilithibitika kuwa ubingwa wa 2007(6?) Ni ilikuwa inahonga marefa...
0 Reactions
1 Replies
625 Views
Takwimu za matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2018 zilizotolewa na Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), juzi, zimeonyesha kuwa Mkoa wa Dar es Salaam umeongoza kwa kufaulisha wanafunzi wengi...
0 Reactions
4 Replies
879 Views
Naomba msaada wa kupata secondary kuhamishia mtoto wangu wa kidato cha nne iwe ya bweni mkoani Dodoma.
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Wakuu habarini Nilikuwa nacheki matokeo ya dogo ila karibia nusu ya darasa akiwemo dogo wamekewa alama *E na hakuna matokeo, sasa nataka kujua inamaanisha nini? Ada tulimaliza mapema ktik shule...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Aliyefanikiwa kupata matokeo ya Form four machame girls secondary kwa mwaka 2018 ayaweke hapa tuyaone maana kwenye platform ya necta hayaonekani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Hii ni kwa Mara ya pili mkoa wa Kilimanjaro unaongoza katika matokeo ya kidato cha NNE hongera sana Kilimanjaro
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini wana jukwaa,husika kichwa vha habari hapo juu.kuna jamaa yangu anahitaji kujiendeleza kielimu katika shughuli zake za kila siku,jamaa anajishughulisha na kilimo na ugugaji Ila angependa...
0 Reactions
2 Replies
42K Views
Habariii memberz kuna mdogo wangu kamaliza shule 2014 anataka kwenda kusoma dit diploma anaweza kupokelewa? Ana C physcs C math C geog D chemistry na E english language???
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau wa elimu naomba msaada wa Pre form five kwa dar kijana wangu amepata div 1 combi za science zimekubali vizuri naomba msaada kwa anaejua wapi inapatikana tuition wakati anasubilia kupangiwa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa anayeujua ubora wa degree ya sheria inayotolewa na RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY anisaidie ata product zake
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Walimu Handeni hawafundishi kabiiiisa, muda wao mwingi unamalizikia kwenye biashara ya bodaboda, tigo-pesa na kuonyesha TV/Video. Hii inasababisha taaluma Handeni kushuka sana. Wakaguzi nendeni...
7 Reactions
155 Replies
51K Views
Wadau naomba mwenye taarifa ya kuwa kuna walimu wengine kutoka secondary watakapelekwa msingi kwa mwaka huu 2019? na je huo waraka upo? tujuzane jmn nianze kujipendekeza kwa headmaster Sent using...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wapendwa....naomba kufahamishwa kozi tajwa hapo juu katika vipengele vifuatavyo: 1:Usajili huwa ni muda gani? 2:Usajili huo huwa upoje?(online/kujaza fomu) 3:Muhula wa masomo huanza...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Utaambiwa mara server ina tatizo, mara network haisomi. Mtu unajaribu ku beat deadline ya ku apply kazi ila mi bureaucracy kibao. Hili tatizo lipo miaka nenda miaka rudi.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama sayansi umepiga fresh njoo ujiunge na chuo cha ardhi Moro ngazi ya cheti na diploma, Uweumefaulu masomo kama physcs geography, maths, na mengine
0 Reactions
4 Replies
13K Views
Hivi unafeli vipi mtihani wa kidato cha nne na mitihani mingine? Utakuta mwanafunzi wa kitanzania anapewa kila kitu na mzazi/wazazi au mlezi/walezi au taasisi anapokuwa shuleni ila cha kushangaza...
1 Reactions
21 Replies
36K Views
Orodha hiyo wapo wanafunzi wetu waliosoma Excellent Training Center na kufanya mtihani wa QT 2018 miongoni mwao walipata taarifa zetu kupitia hapa Jamii Forum. Nakupongeza sana Rita Focus Masawe...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu ndg zngu. Jaman naomben kwa anayejua vizuri kuhusu muda ambao Mtu aliyefany stage 4 na kufaulu masomo yote pengine hakuwez kuunga stage 5 ya mwsho kwa wakati huo huo je dead line ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ushauri
0 Reactions
7 Replies
832 Views
Mke wangu amefanya mtihan wa kidato cha nne,matokeo yake ni division four ya 29 Je anaweza kusoma ualimu kwa vyuo vya private ? Je ada ni bei gani, Nipo dar, ningependa vilivyo karibu na dar...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom