Kama vile kichwa kinaashiria, ningependa kuelewa mfumo wa elimu wa Tanzania, haswa kuanzia shule za chekechea hadi darasa la tatu. Ningependa kuandika kitabu kitakachowasaidia watoto kusoma, na...
Naomba mnisaidie hapa mimi niliitimu kidato cha sita 2017 nilisoma combination ya HKL na nina 3.14 division nina D,E,E,E sasa coz gani naweza chukua University?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu sana kuamini lakini huu ndio ukweli Mkuu wetu wa shule leo hauko nasi. Anyway huyu alikuwa Mkuu wa shule Nyamongo Secondary 1997_2007
Nyakahanga Secondary 2007_2017
Chabalisa Secondary...
Kama alumni wenu ninapenda kujua kinachoendelea huko lakini nafikiri ni zaidi ya miezi 6 siioni hata website yenu hewani. Tulizoea kuwaona through mu.ac.tz au hata ku-google direct name lakini...
Habari za muda huu mabibi na mabwana
Kuna hii creteria ya kufadhiliwa masomo nje ya huu mtihani wa kizungu uitwao ielts ambayo nchi nyingi wanataka uwe umefanya na kufaulu.
Nimejaribu kuangalia...
Kituo chetu kimekuwa ni kimbilio la waliowengi kupata Elimu ya sekondari walioikosa kwa sababu mbalimbali. Ni miaka mitano sasa tunatoa huduma hii muhimu katika ujenzi wa Taifa letu.
Usione...
Nimesikia kuna habari kuwa Ex-Bunge Pupils wanapenda kufanya Reunion ambayo itafuatiwa na tukio la ku-support shule kwa namna fulani.
Ningependa kujua zaidi kuhusu hilo suala maana nimesikia...
wakuu ,twendeni na ukweli hakuna vipindi vya darasani vinakera na kuchosha hasa vya kuanzia sa nane pale baada ya kula chakula cha mchana,LECTURES ukijaribu fanya ka utafiti kadogo % kubwa ya...
Bodi ya mikopo elimu ya juu imetoa access nyingine kwa ajili ya kulipia Madeni kwa wanufaika wa mkopo.Je,kwa njia hii unaeza lipia mwenyewe yamkini kwa Mpesa na kwenye mshahara wasikate au hii...
hivi VETA mna matatizo gani??? Inawachukua mwaka mzima mpaka kutoa vyeti kwa wahitimu wenu. Hamuoni kama tunarudishana nyuma? Mtu anamaliza level 3 mwaka 2017 anasubili cheti mpaka 2019 kweli? Au...
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba 22 na 23 mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifanya...
Wasalaam,
Bila ya kupoteza muda kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu.Nimekuwa napata shida kuyapata Matokea ya Kidato cha Sita kwa mwaka 2008,nimejaribu kugoogle kwa kila hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.