Kwa wale wanaofuatlilia usajili wa wanafunzi wa kidato cha Kwanza wataona idadi ni kubwa hivyo basi Kuna uhusiano wa 1kwa1 uhitaji wa walimu wa masomo yote.. Nimepita mtaani watu wanaongelea Sana...
Jamani habari ya jioni ...
Kwa walimu wote hii inawahusu....
Tunatoa huduma ya kitaaluma kama ifuatavyo...
Tunayo system inayo iwezesha shule kitoa matokeo na ripoti kwa wazazi kwa wakati ...
Naomba msaada wanajanvi kujua orodha ya vyuo vya kilimo Tanzania, niweze kukimbizana daedline...
kuna ndugu ya yupo kijijin sana nataka nimsaidie kwa hili, maana amekosa nafasi SUA na UDSM
shukran
Hisia katika ununuzi wa ndege zimetofautiana. Binafsi niko neutral ni jambo jema kalifanya na la kizalendo (Kwa mjibu wa vipaumbele vya serikali iliyopo). Hii binafsi niipongeze serikali.
Sasa...
Habari za muda huu wanajukwaa?
Moja kwa moja kwenye mada:-
Nina rafiki yangu yeye ni mtumishi wa umma ana mpango wa kuandika tangazo la kutafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi wilaya...
Wakuu salama?
Katika kuhangaika hapa na pale nimekutana na kikwazo cha kuwa na matokeo ya IELTS au TOEFL.
Sijawahi kuona pepa za mitihani ya aina hiyo hata siku moja, nimeangalia yutyubu lakini...
Kwa wale waliotazama movie ya Troy watakuwa wanamtambua Achilles. Huyu alikuwa mpiganaji mzuri sana kwenye historia ya wagiriki lakini nilipojaribu kusoma mtandaoni nilikuta maelezo kuwa mtu huyu...
Habari wana JF
Naomba kufahamishwa kuna awamu ngapi za mtihani wa leseni pharm tech unaotolewa wa baraza la pharmacy
Na pia intake inayofuata ni tarehe ngapi kwa mwaka huu 2019?
Asante kwa...
Habari za muda huu wakuu!
Nafanya all kinds of data activities including Data analysis for both qualitative and quantitative data using SPSS and Excel kwa ubora na kiwango cha hali ya juu.
Pia kwa...
Muonekano wa KITM.
Chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) kilichopo katika jengo la Mama Ngoma, Mwenge na Afrikasana, Sinza jijini Dar es Salaam, kimeendelea kutoa...
Wakuu natafuta shule ya Private Dar ya boarding, ya bweni . Kama ipo karibu na Dar au Pwani itakua poa. Mtoto ni wa kike amemaliza la saba mwaka jana na amefaulu. Nataka nimpeleke private
Sent...
Habari wanajamvi
Mimi ni miongoni mwa wahitimu wa chuo kikuu mwaka huu katika fani ya elimu wa masomo Economics na Geography.na form six nilisoma kombi ya HGE yaani History,Geography na...
Salam wanajamvi.
Mi ni muhitim wa kidato cha sita mwaka huu. Nimepangiwa jkt MGAMBO TANGA. Nafikiria kutoenda coz Kuna ishu nafanya inayonipatia kipato kinachoniwezesha kuisaidia familia Yangu...
Habat wana jf. Nimearisha masomo udsm coz sijapata mkopo hivyo Niko kitaa nifanye issue gani iliniweze kuendesha life LA mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeshaanza tayari kufuatilia vitabu hivi:
1.Moby Dick, by Herman Melville
2.Only the Paranoid Survive, by Andrew S. Grove
3.The Innovator's Dilemma, by Clayton Christensen
4.The Tao of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.