Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
1 Kg8000 Paketi ndogo 1000 0766662256 & 0716219034 Dagaa wazuri WA maji CHUMVI toka Tanga. Karibuni muweke oda. Nipo Dar, Temeke- wailess
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Habari zenu wanandugu? Naomba kufahamishwa,tovuti ambayo naweza kupata kalenda ya elimu kwa mwaka huu wa 2019 kwa shule za Tanzania,au hata mwenye Soft copy anisaidie kuipata Sent using Jamii...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUSOMA "DEGREE" BILA KUPITA "FORM SIX". Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Pro.Joyce Ndalichako amepiga marufuku wanafunzi kujiunga na masomo ya Shahada (degree) bila...
0 Reactions
26 Replies
15K Views
Who are Opera News’s Student Ambassadors? Opera News relies on Student Ambassadors to help spread our mission across the globe. Our main office is in Oslo, Norway and our branches are in more...
0 Reactions
3 Replies
807 Views
nitoe kwanz pongez kwa wote waliochaguliwa uclas home of construction its a nice chuo aisee kikikuandaa thabiti n ushindani wa ajira lakini kikumbwa ni kwamba chuo kinatoa kozi ambazo ni rahisi...
0 Reactions
65 Replies
12K Views
Wakuuu poleni na majukumu!! Naomba kujulishwa vyuo (college) vyote vinavyotoa diploma au certificate upande wa education, ukiondoa university zilizo hapa jiji pendwa la Dar es salaam.... Pont of...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina nia ya kufanya siasa nzuri na yenye tija kwa nchi yangu nisome shahada gani na chuo gani tofauti na UDSM lakini nikiwa muumini wa amani duniani Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu habarini za Leo.!! Kijana wangu kamaliza LA saba lakini hakufanikiwa kuchaguliwa. Nataka nimpeleke Veta ...lakini nimeambiwa fani zinazoendana na yeye kama darasa LA saba ni ufundi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nijuavyo Hakimu na Wakili wote wamesomea sheria.je,tofauti yao ni ipi? kwa anayejua naomba ufafanuzi.
1 Reactions
8 Replies
11K Views
Naona hiki chuo kimeleta changamoto kubwa sana lakini pia nadhani kuna la kujifunza hapa Uchambuzi wa kina pia unahitajika MAONESHO ya Elimu ya Juu yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wana jamvi nimemaliza form four mwaka jana (2017) na nimepata division 3 ya 25 Bios c,hist D,math F,geo C,kisw D,eng D,civ C,fine art D Naweza kuapply chuo Gan Na nitasomea faculty gan au...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Mimi nimuhitimu wa kidati cha nne (2017) nimebahatika kupata Division 4 ya 31 lengo langu nahitaji kusoma chuo. Naitaji kuwa Producer(Film,Tv station, & Radio) Ningependa...
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Habar wanajf kuna kimdogo changu kilikua kinataka kuangalie student information verification kwenye web ya nacte akafata procedures zote ikafika sehemu akaambiwa aweke reg no ya 4m4 lakini akakuta...
0 Reactions
5 Replies
904 Views
Wakuu habar za adhuhuri. Naitaj msaada kwenu nna diploma ya clinical medicine nliyopata GPA ya 4.0 je wakuu endapo nikienda shule mwaka huu kama nilivopanga ntaweza chaguliwa chuo gani MD kwa...
0 Reactions
2 Replies
861 Views
Wakuu habar za adhuhuri. Naitaj msaada kwenu nna diploma ya clinical medicine nliyopata GPA ya 4.0 je wakuu endapo nikienda shule mwaka huu kama nilivopanga ntaweza chaguliwa chuo gani MD kwa...
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Habari wana Jukwaa la Elimu. Naomba mwenye Hard Disk ( CD Au DVD) Za masuala ya Elimu, Hasa zenye Novels na Plays za Kidato cha 4, Kama vile THE BLACK HERMIT, THIS TIME TOMORROW, THREE SUITORS ONE...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, Nahitaji mitihani "past papers" ya somo LA maarifa ya jamii/ social studies iliyofanyika mwaka huu 2018. Itakuwa vizuri zaidi kama nitapata mitihani ya mock wilaya au mock mkoa, Ila hata...
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Mitihani ya vyuo vinavyosimamiwa na NACTE husimamiwa na wasimamizi wa nje wanaotoka vyuo tofauti.Hili ni jambo zuri.Ila zipo changamoto zilizotengenezwa maksudi ama kwa kutokujali zinazofanya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Salaam Wakuu. Heshima kwenu wakubwa. Thread hii ni mahususi kwa wanufaika wa mkopo wa elimu ya juu ambao kwa namna moja au nyingine mikopo yao imeenda vyuo tofauti na vile ambavyo wanasoma sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Matokeo ya mtihani wa kidato chat pili 2018 yametoka. Gusa link hapo chini kuya fungua. Shule zote ziko hapo https://www.tanzania.go.tz/FTNA-2018/index.htm Soma Pia Matokeo mengine kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
57K Views
Back
Top Bottom