Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari. Tukiwa tumebakisha masaa tu kuuaga mwaka, Tumshukuru sana Mungu huku tukiomba mwaka ujao 2018 uje na baraka zake. Moja ya makusudio yangu kwa mwaka ujao ni kujifunza lugha ya Kifaransa...
0 Reactions
3 Replies
935 Views
Habari Wakuu, Mwenyewe taarifa juu ya matokeo ya kidato cha nne atujuze tafadhali....yatatoka lini? Asante Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wapendwa wa maeneo haya,mimi ni kijana ambaye nimemaliza kidato cha nne na nipo na division four(4) ya 32.Nimemaliza kidato cha nne mwaka 2015 naitaji maelezo kuhusu kupata course ya Tours...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wanafunzi wote mliosoma shule ya msingi mlimani kwa kipindi chochote miaka ilipita tunaomba uje katika mkutano jumapili tar 18/08/2013 ,saa 9 pale brajeck karibu na survey na mlimani city,njoo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
kuna maswali nimejiuliza sana. wanasema syllabus ya mashule kuanzia primary hadi chuo kikuu wanataka kitumike kiswahili. kichwani kwangu nimejiuliza maswali mengi sana. 1. Pale chuo kikuu...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwanza kabisa kabla sijaendelea na penda kusema asante kwa wale wote walio ni sahau mimi ni yule mwanafunzi niliyepata 1 ya 7 na nikakosa chuo hadi hawamu ya 3 ndipo nikaja hapa kuomba ushauli na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
True Ink Associates would like to Announce that the CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes is scheduled to commence on Monday 15/10/2018, Dar Es Salaam City Center, Golden...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Za muda waungwana? Niliwahi kuona rasimu fulani ilitolewa na TSC miaka kama miwili iliyopita. Katika ile rasimu, ilionesha kuugawa Utumishi wa mwalimu katika makundi matatu. Nilioona INA mashiko...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari humu!! Hi post pia nimeiwekena kule kwenye jukwaa la technology sababu pia inahusu masula ya technology. Ningependa kuanza moja kwa moja kwamba nimetengeneza app hii kwa ajil ya kumsaidia...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Helo guys Kwa waliosoma majengo enzi hizo mtakumbuka kuwa akina Sabas oisso (mwanafunzi wa majengo sec aliekuwa wa 8 kitaifa) na Laurent shillingi (mwanafunzi wa majengo sec (moshi) ambae tangu...
2 Reactions
38 Replies
7K Views
Wakuu, habari za muda huu na heri ya mwaka mpya 2019. Moja kwa moja tujikite katika mada hii kama inavyosema hapo juu. Masomo tajwa hapo juu ni moja ya masomo yenye ukakasi katika ufaulu...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu kuna mdau namfahamu anadai refund HELSB ..alikatwa zaidi ya alichokopeshwa na HELSB walifanya hesabu na kujua kweli wali overdeduct sasa zaidi ya miaka mitatu refund haijalipwa. Najua...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Jaman naomba mnijuze tena, mimi ni mwanachuo mwaka wa 2, mpaka Sasa sijasaini hela ya kujikimu (boom) so katika ufatiliaji Kwa loan officer pamoja na waziri wake, wakasema allocation zimekuja Kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini sa asubuhi ndugu zanguni. Heri ya Christmas na mwaka mpya. Ndugu zanguni, naombeni msaada wenu, mwanangu kachaguliwa kujiunga na shule ya sekondari Kazima-Tabora, lakini sijapata Joining...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wapendwa...kichwa cha habari chahusika nataka kumwamisha morogoro kwenda iringa naombeni muongozo wapendwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nimelikumbuka sana hili shairi lililoandikwa na Marjolie Oludhe; Atieno washes dishes, Atieno plucks the chicken, Atieno gets up early, Beds her sacks down in the kitchen, Atieno eight...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Ninamdogo wangu maendeleo yake kimasomo ni mazuri mana form 2 ,alipata alama A katika masomo yake yote, sasa anaingia Form 4. Achague comb gani itakayo mpa nafasi ya kusoma coz ambayo zinasoko...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari ndugu natafta scheme of work ya commerce nimegoogle nimekosa kama kuna mtu anafahamu nitapta wapi tafadhali naomba mnisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wanajukwaa, kwa sasa vijana wengi wamekuwa wafikiria kujiajiri baada ya kumaliza chuo badala ya fikra ya kizamani ya kufikiria kuajiriwa baada ya kumaliza chuo hii imepelekia...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Vipi mazingira ya huko? Maana nmepangiwa huko sasa nasikia eti mazingira ni magum sijui ni kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom