Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habarini Wakuu hivi ukisoma Business Information Technology unaweza ukafanya kazi benki?
0 Reactions
0 Replies
631 Views
Shule 10 bora kitaifa std 7 katika matokeo 1.Raskazone(Tanga) 2.Nyamuge(Mwanza) 3.Twilohiki(Mara) 4.Kwema(Kahama-Shy) 5.Rocken Hill(Kahama-Shy) 6.Jkibira(Kagera) 7.St.Achileus(Kagera)...
3 Reactions
74 Replies
6K Views
Members kwa mwenye notes za advance form five na form six za Geography, Biology na Chemistry. Naomba
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Serikali imetangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2018. >Wanafunzi 650,862 kati ya 662,035 waliofaulu wamechaguliwa katika awamu ya kwanza, hii ikiwa ni sawa na...
0 Reactions
52 Replies
47K Views
Ambaye atanisaidia katika kunifafanulia baadhi ya maswali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada eti zile fununu za diploma kupewa mkopo walimaanisha ni kwa diploma wanaoenda degree au wanaoanza diploma?? Naomba kusaidiwa
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Message nimepata chuo dar nimetoka mkoa nilitegemea mkopo ntapata ndo niendeshe masomo yangu sababu sina wakunisupport baba asha fariki na wakati wa application niliambatanisha vyeti vyote mapaka...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Fact 1: Egypt is the most popular tourist destination in Africa, attracting around 10 million visitors per year. Fact 2: Africa is the second largest continent in the world. Fact 3: There...
0 Reactions
1 Replies
831 Views
Mimi ni mwanafunzi wa kudato cha tano.Nataka kufanya uhamisho kwenda shule nyingine ya serikali nifanyejee?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za leo? Naomba ushauri, kuna dogo kamaliza form four ana pass za D 5 na nataka nimpeleke kozi za ufundi level ya certificate, sasa nauliza kati ya IT (Information technology) na electric...
0 Reactions
43 Replies
20K Views
Nilisoma o level nikamliza mwaka 2014 lakn nilifeli sikubahatika kuendelea.. 2015 nilirisiti sikupat credit hata moja hali ikawa hvyhvy 2016 nilipata D moja ya Kiswahili, 2017 nikarisiti tena...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale wanaohitaji shahada za uhandisi na huku wakiwa wanahitaji angalau ajira tafadhali kasomeeni shahada hizi hapa chini. 1.Mechanical engineering 2.Civil engineering 3.Electrical and...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wadau wote wa elimu. Swala langu ni kuhusu hii kozi ya AIRCRAFT ENGINEERING inaonekana itakua na soko kubwa mpk kufikia 2025-2030. Huu mtazamo wangu ni kutokana na haya yafuatayo; 1. Leo...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
naombeni kujua roles za diversification in measuring economic capital requirements
0 Reactions
0 Replies
565 Views
Kwa matokeo haya form 4_2015 Naweza pata diploma ya clinical medicine,,,, kibaha? au lugalo? Phy_C Chem_B Bios_B Math_A Englsh_B
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari za muda huu wakuu! Nafanya all kinds of data activities including Data analysis for both qualitative and quantitative data using SPSS and Excel kwa ubora na kiwango cha hali ya juu. Pia kwa...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Wakuu samahani,nilisajiliwa kufanya mtihani wa kidato cha sita shule binafsi bahati mbaya nikashindwa kufanya mtihani na matokeo yangu yakaja na Alama x,je naweza pata nafasi ya kufanya mtihani tena??
0 Reactions
2 Replies
837 Views
Naomba msaada wa Joining instruction ya kidato cha kwanza shule ya sekondari ya wasichana Tabora. Natanguliza shukrani
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Kila mwaka kuna vijana wapatao 700,000 wanaoingia kwenye soko la ajira wakimaliza masomo kuanzia shule za msingi, hadi vyuo vikuu. Idadi hiyo ya vijana inaashiria changamoto ya ukosefu wa ajira...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom