Nilishawahi kusema siku za nyuma kitendo cha mheshimiwa joyce ndalichako kuwa waziri kinanitia mashaka mbaya zaidi kwa wakati ule tuliwekewa na naibu wazir mh.stellah manyanya ambaye yeye...
Baraza la Mitihani NECTA limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi (darasa la saba) ambapo matokeo yanaonyesha ongezeko la ufaulu kwa asilimia 4.96% tofaiti na ufaulu wa 2017...
Habari wakuu, mwenye uelewa na hizo program courses kwa pale UCC, ipi kati ya hizo ina fursa Kubwa ya kujiajil au hata kuajiliwa kwenye organizations .
Karibuni.
Wanajukwaa kuna baadhi ya vyuo huchukua hata mwaka mmoja kutoa vyeti vya wahitimu wake na vingine kutoa within a week or soon after graduation nini hupelekea tofauti hizo,je hawaoni ni changamoto...
Habarini za jion
Wadau nina swal nahitaji kufaham, Hivi ikitokea mhitim kapata tangazo la kaz anahitaji kufanya application ya kaz na transcript hazijatoka.Je anauwezo wa kutumia provisional...
Wasalaam wakuu,
Wale majamaa wanaokula asilimia
mbili za Mshahara wanakutakia Kheri ya Christmas na Mwaka Mpya.
Wanakuambia Solidarity Forever....... Neno Moja kwao
Salaam,
Wakuu naenda moja kwa moja kwenye mada. Chuo kikuu mzumbe dar campus kusema kweli huwa hawajali mda wa wanafunzi kwenye utoaji wa matokeo ya research. Mwaka huu mwisho wa kukusanya...
The chance is yours now, learn how to speak and write very well English to French, French to english or kiswahili to English or French to kiswahili.
The teacher is available at any time and he can...
habari wakuu
nina mdogo wangu anataka kurisit mtihani wa kidato cha nne
natafuta pahara pa kumuweka naomba kama kuna mtu anafahamu shule inayopokea risiters anidokeze
ni vizuri ikiwa mikoa ya...
Salaam,
Naomba mwenye navyo au mwenye namna anaweza kuvipata kwa haraka avitume hapa. Pia kama unaweza kunipatia link itakayonipeleka mahala nivipakue (Free) nitashukuru sana. Vitabu vyenyewe...
aisee wakubwa zangu natafta mdhamini au mtu mwenye kazi yoyote maana sina mkopo afu ada ni kubwa kiasi ata nikiacha chuo io ada staipata nipo Bachelor in shipping and logistic management pale Dar...
Nilishawahi kusema siku za nyuma kitendo cha mheshimiwa joyce ndalichako kuwa waziri kinanitia mashaka mbaya zaidi kwa wakati ule tuliwekewa na naibu wazir mh.stellah manyanya ambaye yeye...
Mjadala kuhusu rangi za bendera ya Taifa la Tanzania ni mzito kuliko nilivyodhani. Nimepekua baadhi ya nyaraka za kimataifa na zenyewe zinakinzana. Bendera ya Tanzania ilizinduliwa rasmi Tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.