Kinaitwa "Kwanini nifeli mitihani yangu? Najifunza hatua kwa hatua mbinu na mikakati ya kufaulu mitihani yangu,sina tena sababu ya kufeli mitihani yangu"
KUHUSU KITABU
Kufaulu mitihani...
Imekuwa utaratibu wa kawaida vijana darasa la saba kufanya mitihani ya kuchagua multiple choice
Kwa maoni yangu hii moja kwa moja ni kuua elimu ya vijana kwetu
Siku hizi vijana na waalimu...
Walimu muwe na staha basi juu ya maneno yenu mnayo yatamka pindi mnapo wafundisha wanafunzi huko madarasani!
Leo nimepanda basi la kutoka Tandika kwenda Mbezi kuna watoto wa darasa la sita...
Guys Samahanini ila nimejaribu kuingia katika tovuti ya Veta kuangalia majina ya waliochaguliwa kuanza mafunzo ila majina hayatokei naombeni msaada maana nina mdogo wangu anatakiwa kwenda kuanza...
Wadau na wazoefu ktk uandishi wa vitabu mbalimbali Naomba kujua au kupata mwongozo wa kuandka kitabu A to Z (mwanzo had mwisho wa mchakato)........
Asanteni xanaaaa........
hivi bodi ya mikopo wana mpango gani kuhusu continous walioomba mkopo kwa mwaka huuu maaana hawaja toa batch ya continous mpaka sasa hali iliyopelekea wengine kushindwa kurudi vyuoni.....kwanni...
Wadau nahitaji materials ya Literature in English O-level. Nimepangiwa kufundisha hilo somo ambalo limekuwa introduced for the first time hapa shuleni! Mwenye uzoefu yeyote anaeza nisaidia...
Habari za mida hii wanajukwaa.......
Kama kichwa cha habari kinavojieleza naombeni mwenye majina waliochaguliwa kujiunga VETA nikiwa na maana wanaotakiwa kuripot 2019,
Me tatizo linakuja...
Habari wana JF.
Naomba kwa wale ambao wamemalizia pugu boyz au minaki kwa miaka hii ya karibuni frm 2016 -..... Mnipe background ya hizo schools in terms of schoolo life daily routine to academic...
Habari ya mda huu wana jukwaa la elimu. Kama mada inavyo jieleza hapo juu, naomba kupata msaada wa soft copy ya vitabu vya GEOGRAPHY kwa a'level.
Alseneta sir.
Kuna hii kitu wanasema dunia ina mizunguko miwili
1.rotation[rotates on its own axis]
2.revolution[revolves around the earth via eliptical orbit]
Sasa swali ni je mizunguko yote hiyo inatokea kwa...
Jamani nauliza kuna jamaa yangu akusoma diploma akafanikiwa kujiunga Barchelor sasa yuko mwaka wa tatu ila chuo chake kilitoka kwenye orodha ya kusitishiwa udahili je anaweza kuathirika kwenye...
Wakuu. Kuna mtoto wa sister anasoma shule ya mbali na anapoishi (alipangiwa huko) sasa tunataka kumuamisha. Yaani kutoka shule ya serikali na kwenda shule ya serika. Mwenye uzoefu au msaada tafadhali
Wakuu habari zenu...nina mdogo wangu amemaliza chuo degree mwaka juzi na alipokuwa chuo alipata mkopo under HESLB
Dogo alisoma course ambayo haina market nzuri ameona arudi achukue diploma kwenye...
Wakuu natafuta mwalimu wa sekondari wa kubadilishana naye.
Niko halmashauri ya Bagamoyo,hapa Mapinga,nataka kuhamia Moshi mjini.
Tafadhali nipm km ni mhusika ai inamjua mtu anayetaka kutoka Moshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.