Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
1.kwanini kwenye kukojoa (hususani wanaume) mara nyingine mkojo unaanza kutoka ukiwa katika njia mbili ghafla zinaunganika kuwa moja 2.kwanini ukiona mtu anakojoa au kupiga mwayo ghafla na wewe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ilijulikana mapema kuwa elimu bila malipo ingesababisha watoto wengi kwenda shule na hatimae kufaulu wengi kuliko kawaida. Nani hakuwa na uelewa wa aina hii? Watendaji wanamuangusha mhe. Rais Kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JE WAJUA? Kumtumia binti Jumbe mara nyingi (mf. SMS) ukimlazimisha kua na wewe kimahusiano, au kusababisha maudhi ya hisia ni kosa kisheria. Sheria ya makosa ya mtandao, 2015 kifungu no. 23...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
We shorten the TIME,PROCESS & COST for studying abroad. We have scholarship. Email: info@acetz.net Whatsapp +255676484485
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa Nimemakiza kidato cha sita mwaka 2016 nlipata daraja la 3.13 ambayo ni Biology E, Geography D na Chemistry D nahitaji nkasome diploma ya kilimo Wapi naweza kupata chuo na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu habari za majukumu. Kama kichwa kinavyoeleza, ninaomba kupatiwa ufafanuzi wowte kuhusu masomo ya Diplomat Vyuo vinavtotoa kozi hiyo, na sifa za anayehitaji kusoma. Naomba mnipe mchango...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Source: Uhaba vyumba madarasa unahitaji mkakati maalum
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jamvi Naomba msaada wa kuelezwa, ni benki gani hutumika haswa na Walimu kwa ajili ya kupokelea mshahara pindi anapoajiriwa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Heading inajieleza naomba msaada anayejua hiyo shule popote Tanzania.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanza hongereni wote mliochaguliwa ila wale wa TEKU nawahitaji hapa. Nawasilisha
0 Reactions
86 Replies
11K Views
Karibuni kwa sherehe au kujipanga kumalizia palipobakia, NBAA hawapoi hawaboi Examination Results |BODI YA TAIFA YA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA HESABU TANZANIA (NBAA) Nenda website yao kwa upya...
1 Reactions
9 Replies
8K Views
mimi ni mwanafunzi nimemaliza kidato cha nne,nilikuwa naomba kaka na dada zangu walionitangulia kupita kidato cha tano kunisaidia kunujulisha topic za phys form v
0 Reactions
16 Replies
15K Views
Kama ulifanya application kwa certificate na diplomaa kachekii mambo tayariii .... Www.nacte.co.tz
0 Reactions
54 Replies
11K Views
Habari za Saa hii wakuu mimi ni mtanzania halisi kabisa. Siku ya Jana kuamkia Leo mnamo saa nane usiku nimewaza sana kuhusu maisha yangu na muelekeo wangu wakati huo nikiendelea kufikiri maisha...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
SIMULIZI;UCHAWI WA MAMA. MTUNZI;RAJA SAIDY. WHATSAPP;0756920739. SEHEMU YA KWANZA "Dada amka tusali amka dada" "Nina usingizi mdogo wangu" "Lakini dada sio vizuri kulala bila kusali" "Mdogo...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Kichwa cha thread kinajitosheleza. Nawasilisha, Karibuni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Usitafsiri neno hilo kutoka kiswahili kwenda Kiingereza au kilatino, au usiingie google translate itakupa neno la kupotosha, watu huwa wanarudishwa rumande pindi wanakosa dhamana mahakamani sasa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Source: Walimu wawili mbaroni tuhuma kupiga mwanafunzi hadi kuzirai Yaani siku miungu watu wa namna hii wanaofanya mambo ya namna hii wakaja wakaingia kwenye target yangu,...........
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu kuna mdogo wangu anatesekq sana yaaan alimaliza 2017 cheti kapata mwaka huu Lakin akifuatilia transcript wizarani eti a naambiwa chuo Chao hakijatuma matokeo seriously???? Chuo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Eti wadau mtu akipata alama ya A hisabu, B kiswahili, C maarifa, D engl, D stad ana grade C je anapangiwa shule secondary?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom