Nina mdogo wangu alichaguliwa chuo Fulani degree na mkopo alipata, kutokana na Ada ya chuo kuwa kubwa na pia kozi hakuipenda aliamua kwenda kusoma nursing chuo cha serikali ngazi ya certificate na...
Wadau, ninajickia hamu ya kuingia veta kusomea fani ya umeme Wa magari kwa short course lakin, mwenye uzoefu na fani hii anisaidie kunipa dondoo muhimu, kozi ya muda mfupi inachukua muda gani...
Kwa miaka yote nilioishi Tanzania sikuwahi kujua kuwa wale wanafunzi wanaomaliza darasa la saba shule za English Medium kumbe nao wanapangiwa hizi shule za kata (za wananchi).
Leo, ndio nimejua...
Orodha ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza kwa mwaka 2018 zina patikana ktk websites za wilaya mbalimbali na katika mbao za matangazo katika wilaya hizo
hapa chini ni baadhi ya wilaya...
Wakuu habarini!
Kwa wale wanaojua zaidi kuhusu hiki chuo naomba wareply niwatafute. Namaanisha kwa wale wanaokijua vyema na maybe waliwahi kusoma.
Asanteni
Ndugu zangu katika imani, nimetoka tena isipokuwa mara hii nimekuja kivingine . Lengo kubwa la mada hii ni kutoa ushauri kwa nia njema tu kwa dini ambazo bado zinaamini kuwa mfumo kale ndio...
Wasalam wana jukwaa!
Kwanza kabisa Namshukur Mungu kwa uhai.
Tangu nijiunge Jamii Forum yapita miaka kadhaa sasa, na nimekuwa nikijifunza mengi kutoka kwa watu wenye uelewa wa mambo katika...
Jamani naandika Uzi huu nikiwa sina kinyongo chochote ila nikihitaji kujua zaidi.
Nini umuhimu Wa police na bunduki kwenye vituo vya kufanyia mitihani drs LA saba ,form four, na six necta??
Kuna...
Wana forum Naomba kwa wale wenye kufahamu tofauti iliyopo hapo watufahamishe I.e kuna tofauti ipi kati ya mtu ANAESOMA bachelor of science in Mechanical engineering na mtu ANAESOMA bachelor of...
Nimeuliza hivi kwa sababu chuoni kuna fomu ambazo hao viongozi wa institute of engineering wanagawa na unalipia tsh 5000 kwa ajili ya cheti bila mafunzo wala bila kufanya kitu chochote. Nilipo...
Changamoto ya kila moja katika usomaji.
Ipi ni kozi bora kati ya hizo kwenye soko la ajira (kujiajiri au kuajiriwa).
Na pia yenye uwezo wa kuingiza pesa zaidi na kukupa muda wa kufanya mambo...
Habari zenu wadau..Natumaini mko salama.
Nina shida ya Academic prospectus ya chuo cha State University of Zanzibar ya mwaka 2018/2019 AU 2017/2018..Nimejarbu kutafuta online nimekosa zaidi...
vijana kama kuna mtu anandoto siku moja aje kuwa rais wa nchi hii basi usisome vyuo vya binafsi hasa vilivyo ndani ya nchi.kama ukisoma urais wa nchi hii sahau kabisa hakuna chuo cha binafsi...
Wana Jf habar zenu naomba msaada wa kituo cha tuition kwa maeneo ya mbuyuni-bunju hii ni kwaajili ya mdg wangu anaingia form3 mwakani,kushinda home tu naona ankuw zobaa msaada jmn!!!!
Sent from...
MSHINDI WA Bongo Star Search, BBS 2018
Mshindi wa bongo Star search 2018 amepatikana.
Mshindi ni mwanamke jina. SARAPHINE MICHAEL mwanafunzi wa BSC PETROLEUM CHEMISTRY, UDSM,
ndie ameondoka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.