Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
jamani hichi chuo mie sikielewi nimesoma short course ila nashangaa cheti nilichopewa kimeendikwa university of computing center limited hivi hiki chuo na udsm wana uhusiano gani
1 Reactions
37 Replies
11K Views
Naombeni msaada kwa mwenye kufahamu shule nzuri katika wilaya ya Temeke, Namaanisha kitaaluma na maadili. Pia ukinidokeza na gharama za ada nitafurahi. Huko waliko nataka kuwahamisha maana kila...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY - DAR ES SALAAM. Chuo kinatoa mafunzo ya Elimu ya juu, kuanzia ngazi ya certificate, diploma, degree na Masters... kwa kozi za AFYA ELIMU SHERIA BIASHARA COMPUTER...
1 Reactions
24 Replies
40K Views
Naombeni msaada wa mawazo. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wakwanza wa chuo kikuu Dodoma (UDOM). Nilichaguliwa chuoni hapa kusoma BACHELOR OF SCIENCE WITH EDUCATION bahati mbaya sikufanikiwa kupata...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari wanajamvi,rejea kichwa cha habari hapo juu. Nimehamia maeneo ya Yombo buza ,hivyo nawatafutia watoto shule nzuri ya private ambayo ni English medium maeneo ya Buza na maeneo jirani. Naomba...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Kwa matokea haya kidato cha nne mwaka jana aweza kusoma diploma ya pharmacy?Physics-D,Chemistry-D,Biology-C,Basic Mathematics-B plus,History/kiswahili-C,Geography/English/Civics-D
0 Reactions
14 Replies
22K Views
Katika maisha kila mmoja wetu lazima apitie changamoto tunasema kama haupo katika changamoto basi umetokea katika changamoto.Changamoto nishida au matatizo anayopitia mtu pindi anapokuwa anafanya...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina miaka 31 Elimu yangu ni ya darasa la 7, Je naweza kuanza kusoma QT? Yaani form 1 na 2 kwa mwaka mmoja, kisha form three na four kwa mwaka mmoja?
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Ndugu zangu wanaJF mimi sio mjuzi sana katika nyanja za elimu ila kuna mambo nime yasikia yamekua yakinichnganya saana. maswali makubwa niliyonayo ni pamoja na 1. NACTE kufuta baadhi ya kozi...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Mi nimiongoni mwa wanufaika wa mkopo ambao hivi sasa naulipa kupitia makato ya mshahara nimeenda ofisi ya bodi kuhakiki deni lililobaki naambiwa nitofauti nakias kinachosomeka kwenye salary sleep...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Yoyote yule anaesoma au anaekifahamu vizuri hichi chuo kuhusu:- 1. Entry requirement kwa sisi wa Tz. 2. Malipo yake. 3. Mode of application kwa sisi wa Tz. Maana nimeangalia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
what type of legal system does the tanzania follows?
0 Reactions
2 Replies
993 Views
Ni kutoka tamisemi kweli au watu wametunga maana pepo la utapeli nalo limezid mno siku hizi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za mchana waungwana.. Kwa yeyote mwenye pdf ya kitabu chochote cha Walter Rodney naomba anisaidie, nina shida navyo sana. Ahsanteni, muwe na siku njema.
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Jaman najiona kama vile Nina bahati mbaya, hivi bodi hawakujua kuwa kuna wanafunzi wanaweza kucarry hata kwa bahati mbya , sasa wanategemea ntaishije..jaman mwenye uzoefu na hili anisaidie, Mimi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Majina ya allocation tayari yalishawasili,ila shida ni kwenye signing sheets.Watu tunaishi kama mashetani mwezi wa pili unaenda kuisha,tutasomaje sasa huku tuna njaa Afisa mikopo wa chuo anasema...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Je kwa point 11kwenye combination unaweza kuingia form five kama mwanafunzi wa school candidates,mfano D,D,C
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu members wa jukwaa hili?, Naomba kupata ufahamu kidogo kuhusiana na mambo kadhaa kwenye bodi hii ya wataalamu wa ugavi na manunuzi (PSPTB) 1. Mtu anaweza kujiunga na kufanya mitihani ya...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habarini wakuu..... What will be your answer ukiulizwa; The most realistic sc. subject... The most unique sc. subject.... The most difficult sc. subject.... The most precise and interesting...
5 Reactions
284 Replies
31K Views
Back
Top Bottom