Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wanajukwaa naomba kuuliza kuhusu kurudia mtihani wa kidato cha nne je Je? ukirudia mtihani ukapata credit moja na ukataka kurudia tena utatumia namba ipi ya mtihani na je ukirudia unapewa cheti...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamanii eee nisaidieni mdogo wangu amepata hyo cozi pale SUA vipi ina mashiko kwa waliopitia hyo au wanaoifahamu na je inawezekana kujiajiri?????
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu majibu ya rufaa za mikopo zinatolewa lini? ili kama wa kwenda kulima tukalime mapema muda ndo huu. Na ahadi zao zisizokuwa na ukweli.
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Kwa anaejua anisaidie namna ya kufuta (delete) cheti kilicho kuwa uploaded kwa makosa kwenye app ya utumishi ya Ajira. Asante wakuu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kuwa hai hadi muda huu na mema mengi anayozidi kunitendea katika maisha yangu. Wakuu ,mimi ni muhitimu wa kidato cha sita 2017...
1 Reactions
36 Replies
8K Views
Habar zenu wakuu naomba wasomi wa certificate ya IT kwa open university kuanzia 2016 hadi batch hii ya 2018 tukutane hapa tuangalie namna ya kusaidiana kimasomo Natanguliza shukran....
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama kuna kitu kinakosekana katika taasisi zote za kiswahili ni kushindwa kuwaenzi waandishi mahiri kabisa waliotikisa viunga vya Afrika Mashariki kwa masimulizi yenye kuchetua nyoyo za wasomaji...
1 Reactions
66 Replies
11K Views
mwenye uhitajii ankcheki PM
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarin zenu wanajamvi natumai mko poa kwa wale ambao hali Si nzuri basi Mungu awafungulie njia. Niende kwenye mada naomba kuuliza wakuu hiv Nacte wanaangalia vigezo gani haswa?? Nmeomba vyuo vya...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Antikythera Mechanism: Scientists Crack Secrets Of 2,000-year-old Astronomical Computer ScienceDaily (July 31, 2008) — Cardiff University experts have led an international team in unravelling the...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Welcome Mpella Education Blog for more educationl resources. T H I S T I M E T O M O R R O W SETTING: KENYA AFTER INDEPENDENCE- UHURU MARKET IN NAIROBI CITY. PLOT SUMMARY The whole play is...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wadau wa IFM umma na wanafunzi kuanzia Basic Certificate, Certificate, Ordinary Diploma, Higher Diploma, Bachelor Degree, Master Degree na kadhalika mabibi na mabwana karibuni tufahamishane kuhusu...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Habari jf. Naombeni ushahuri kati ya hizi procurement & supply chain management, accountancy, and business administration.
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Wakuu habari zenu! Naomba kusaidiwa kimawazo kwa wale wenye ujuzi wa fani za kusomea kwa mtu aliyemaliza diploma ya Clinical medicine tofauti na MD(medical doctor) na AMO( Assistance Medical...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta mtu mwenye ujuzi wa it anifundishe, kwani toka kitambo ninahitaji kujua jambo hilo. Sio kujifunza kwa kwenda chuo bali kwa mtu binafsi
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habar za mdahuu wakubwa,,, nnaomba kuereweshwa vizuri utaratibu wa kurudia mtihan wa kidato Cha nne ni lazma kurudia masomo yote!?? au unaweza rudia hata somo moja!???
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mie mwanafunzi wa Master niko kwenye hatua ya kuandika research proposal ila changamoto ninayoipata ni namna ya kupata relevant literature review! Ninahisi labda sina searching skills. Nimetumia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari,ningependa kujua nawezaje kupata mawasiliano ya uongozi wa shule ya kajumbula alexander sec school
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Ni mji gani una majengo ya kifahari na jina la mji huo ni kifaa kitumikacho MSIKITINI NA KANISANI na vile vile jina la mji hilo ni jina la msanii wa BONGO MOVIE. Tafadhali wakuu wangu naomba...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari za Leo Wanajamii Forum ,Naomba kwa wote ambao mpitia interview za Utumishi ,Mtusaidie basi kuhusu maswali yanayoulizwa kwenye interview za utumishi kada ya procurement ,Vyeti gani ni muhimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom