Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuuu Kama kichwa kinavyojieleza ni kwamba naomba mnisaidie Aris yangu inafail kufunguka kila nkijaza username and password but still haifunguki litakuwa nin tatzo?
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Nina tatizo la pasword zangu kugoma kuingia ktk account yangu niliyoombea mkopo na pale nlipojaribu ku-recover kimekuja kitu ambacho xjakielewa...Je!! zipi ndo pasword ktk maandish haya chini??
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Huu mfumo wa kuappeal mwaka huu ni kama kiini macho!!!! Kwanza password za wengi ziligoma na hata walipobadilishiwa password, verification status ya viambatanisho ilikuwa ni pasua kichwa. Muda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar kwa wale watumiaji wa Vodacom nmeona kuna watu wanasema kua wnaweza kuunga kifurushi ka hiv WEEKEND SASA, TUNAPOFURAHIA MWEZI MPYA HEBU TUPITIE HII👇👇👇 GB60 MIEZI 6 VODA!! GB60 MIEZI 6...
0 Reactions
3 Replies
702 Views
Habarin wakuu,nilikua naulzia HV mzumbe kuna short course ya district sales officer?kama ipo ada na duration yake pia ni mhimu Asanteni
0 Reactions
1 Replies
963 Views
MSAADA ELIMU KWA YATIMA Kama kuna mtoto yatima anayeasoma Chuo Kikuu chochote Tanzania na amezidiwa na shida ya ada na gharama nyengine za Masomo kiasi cha kulazimika kuacha Masomo, mwambie atume...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Ninaomba msaada kwa wanaofahamu juu ya ada za shule hizi kwa elimu ya msingi (mtoto wa kuanza darasa la kwanza). - Hazina International - Feza Schools - Ali Hassan Mwinyi Elite...
3 Reactions
39 Replies
20K Views
Habar zenu wana jamii forum; Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo Makerere Uganda.Nasoma Bachelor Degree ya Biomedical Engineering. Ningependa mnisaidie Makampuni ambayo wataweza...
1 Reactions
1 Replies
846 Views
Jamami kwa yoyote ajuae au alisha soma Mafinga Clinical Officer Training Center naomba anisaidie ada zao ni kiasi gani. Asanteni
0 Reactions
9 Replies
16K Views
Naomba kujua chuo au taasisi ambayo wanatoa mafunzo yahusuyo umeme wa jua na ujumla wake. Mkoa wa Dar es salaam
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Certificates from foreign examination bodies for Ordinary or Advanced level education should be verified by The National Examination Council of Tanzania (NECTA) and National Council for Technical...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Shenzi type zao bora si tunaosoma vyuo vya kata.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimepata udhoefu kwa baadhi ya wanavyuo wenzangu toka UDOM,UDSM,WALIOSOMA TEKU,SAINT JOHN na baadhi ya vyuo.KOZI NYINGI KWA SEMESTER NI KATI YA 9 NA KUMI Sasa saut mbeya center wanaosoma semester...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Duuh
0 Reactions
5 Replies
610 Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inawafahamisha wanafunzi wote wa taasisi za elimu ya juu kuwa leo, Jumatano, Novemba 21, 2018 imeanza kupokea rufaa za mikopo kwa mwaka wa...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Nimekumbuka UDSM philosophy club na kutafuta debates zake kwenye YouTube na kukuta hizi clips mbili, na kupigwa na butwaa kwani sioni uhusiano wa nilichotazama na philosophy/ philosophical debates.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwalimu Waziri Dkt. Kigangwalla aliandika mahala namnukuu..." In few past weeks " Mwalimu Rais kuna mahala nae aliandika hivi namnukuu..." In the past few weeks " Binafsi nimetokea ' Kuvutiwa '...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
SALAMU NYOTE Moja kwa moja kwenye mada. kwa muda mrefu kumekua na kilio ya kua Waafrika tuliowengi hatuna utamaduni wa kujisomea (na kwahakika huu ni ukweli). Lakini suali kubwa hapa jee utamaduni...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau habari! Naomba kuuliza kwa anaejua shule ya msingi kwa Dares salaam ambayo ada yake haizidi milioni moja(chini ya milioni moja)naomba anifahamishe,maana vyuma vimekaza,tukikomaa na ada...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom