habar wana jf
naweza sema wazazi/ndugu wamekuwa wavivu kufanya bidii ya kutosha kutafuta pesa ili vijana wakasome elimu ya juu kwa kutegemea mikopo toka serikalini
binafsi nachukia sana mikopo...
Je nakuaje kwa mwanafunzi aliyefanya transfer kutoka chuo A kwenda chuo B, ikiwa allocation ya mkopo wake upo chuo A alichohama? na inachukua muda gani mkopo kuhamishwa kwenda chuo B alichohamia...
Tumedahiriwa vyuo vikuu fulani nchini vyenye ada kubwa kuliko 3,1 mil tunayolipiwa na Loans Board kama mkopo, lakini tumesimamishwa masomo Kwa muda usiojulikana eti Kwa kosa la kupungukiwa kidogo...
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu nchini Tanzania imetoa awamu ya nne kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza 2018/2019 ambapo majina na allocation tayari yametumwa vyuoni.
Mpaka kufikia leo tarehe 18...
Habari wana JF, in matumaini yangu kuwa ni wazima. Nina mdogo wangu kamaliza form 4 na ndoto yake no kuja kusomea udaktari yaan MD ila tatzo n kuwa Physics hakupiga yaani, japokuwa matokeo...
Kesho, November 27, 2018, Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dr John Pombe Joseph Magufuli atakuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za uzinduzi wa maktaba mpya na ya kisasa kabisa kuwahi...
Wadau, habari za majukumu,,
Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna mdogo wangu kaniomba pesa kiasi cha Tsh120,000/= Kwa ajili ya kuhudhulia mafunzo ya kujifunza stadi za kufundisha lugha ya...
habari wana jamvi mimi naomba ushauri na msaada juu ya namna ya kupata kituo cha mtihani hapa Dar es Salaam na shule zipi zinazo toa huduma hii na gharama
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwafahamisha waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019 kuwa imetoa orodha ya Awamu ya Kwanza yenye jumla ya waombaji wa mwaka...
Wadau mwnangu kapangiwa pale mweka wildlife college na SAUT mwanza. Ki ukweli sikuwahi kusikia chochote kuhusu hivi vyuo na courses zake. Mtoto ndo kakomaa na wildlife ya mweka huko mwanza hataki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.