Ndugu zangu mabibi kwa mabwana mlochaguliwa chuo cha ushirika moshi(SUA ) napenda kuwapongeza sana kwani ni sehemu sawia kabisa wala haujakosea njia, muccobs ni chuo kigumu kimasomo,mfano kwa...
Katika pic hiyo niliyo attach hapa inajieleza kabisa kuwa unasemekana matokeo ya clinical medicine ya mwaka 2018 mwezi wa 8 yanafanyiwa uhakiki na NACTE sasa sijajua uhakiki huo umefikia wapi?
Na...
Habari za mchana wana JF.
Hivi ikitoka kwa mtu ambae hajafanya malipo ya NACTE EXAM FEES baada ya deadline kuisha kuna utaratibu gani utatumika ili kuilipa iyo pesa?
Niko ktk wakati mgumu...
Habari zenu wanajukwaa wezangu mimi nimemaliza kozi ya nursing certificate mwaka huu matokeo yametoka nina GPA ya 3.3 nilikuwa nauliza je hapo naenza kuunganisha na diploma alaf ufaulu wangu...
toka nikiwa o level huu ndio msemo maarufu wa wanafunz was vyuoni, basi na mm nikaingia nikijua chuo bata, but within 3 weeks sijaona bata zaidi nawaza kuongez msuli zaidi ya advance.
Hebu...
Kichwa cha habar chahusika, nauza research proposal zifuatazo ( for serious buyer only
* "ENVIRONMENTAL & HEALTH IMPACT OF SOLID WASTES DISPOSAL ON THE GROWING CITIES"
* "IMPACTS OF GRADE...
Wanomajor English nauza research yang ya eng research project .
Wanaosoma sociology of edn nauza research yenye title "the role of teacher in classroom management in sec school,(case study...
Hiv hawa bodi wanatumia vigezo gan kutoa mkopo? Na sifa zipi? Maana leo wametoa batch ya nne inasemekan ni ya mwisho wakat cha kujiuliza ni bajeti iliyotengwa mwak huu ni zaidi ya billion 400 na...
Kama kuna Mtu hapa anaijua tafadhali aiandike ili niweze Kumpatia Mdogo wangu nae atiririke na aserereka nayo Kitaaluma.
Natanguliza Shukran zangu kwa wale watakaonitumia.
Nawasilisha.
Poleni na majukumu wa ndugu!
natamani kurudi shule nikasome kozi moja wapo kati ya hizi:
1. postgraduate diploma in land management
2. postgraduate diploma...
Msaada tafadhar,,,nmesahau password niliyotumia kuomba loan toka juzi najaribu kuappeal najaribu inagoma...nikiweka email pale kwenye forgot your password inagima pia naomben mwenye number ya...
Nimesikitishwa sana na habari nilizozipata kutoka kwa wanafunzi wanaosoma katika vyuo hivyo pale waliponieleza kuwa kuna baadhi ya wanafunzihuwa wanafaulu mitihani yao ya mihula kwa kuhonga Pesa...
Wakuu mko vyema?!!!
Kwa yeyote mwenye link ya vitabu vya free au anaefahamu namna ya kupata vitabu kwa njia ya software ambavyo ni free kuvipata naomba anielekeze tafadhali.Lakini vyema zaidi kama...
Habari wana jukwaa?
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu huria mwaka wa pili. Lakini nilikuwa ninasoma bila ruhusa ya mwajiri na nilikuwa ninasomea fan nyingine tofauti na ile niliyoajiriwa. Sasa...
Habari za saizi naimani mko poa kama ID yangu inavyo jieleza niende kwenye mada last year nilikuwa nasoma kwenye collage flani mbeya sasa kulitokea upotevu wa vyeti vilipo kuwa vinaenda kuhakikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.