Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wadau poleni na kazi. Jamani kama kuna mtu aliomba nafasi ya kazi katika shirika la save the children tanzania week tatu zilizopita na anajua status yake kama wameitwa interview au la maana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni, katika hali isiyo ya kawaida, mtihani wa taifa umefunguliwa katika shule ya sekondari ya wasichana Mtwara (Mtwara Girls) kabla ya siku ya mtihani huo. Kwa...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Na Mwandishi wetu - Imechapwa 01 February 2012 WATOTO wawili wa Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa wahitimu wa vyuo vikuu waliotangazwa kama wadaiwa sugu wa mkopo wa elimu ya juu uliotolewa...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Chama cha kutetea haki na masilahi ya walimu tanzania (CHAKAMWATA) kinawakaribisha walimu wote kujiunga na chama hiki kipya chenye nia nzuri ya kusimamia masilahi ya walimu tanzania. Sisi...
2 Reactions
21 Replies
7K Views
Tafadhali naombeni msaada, Anayefahamuvizuri shule ya Alfagems Morogoro anisaidie mawasiliano ya shule au hata namba za mwalimu aliyeko pale ili niweze kuwasiliana nae kupata taarifa na muda kwa...
0 Reactions
19 Replies
13K Views
jaman wapendwa naomba msaada mimi nli apply maombi ya ajira ya afya katika second round iliyotangazwa nazan ilikuwa n mwez wa kumi mwanzoni vp bado hawajatoa matokeo na kama bado wanaweza towa lini???
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Hiv wakuu kuscan chet ni lazima uscan pande Mbili?? Na vip PDF ukishapewa document yako mbona inagoma kufunguka??
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Jana Naibu Waziri Mwanjelwa alizungumzia kuhusiana na kazi waliyopewa wizara kuzungumzia hasa ajira ya 2012 kuwepo na upandaji wa madaraja kwa utofauti mkubwa sana . Majibu yake yalionesha wazi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
kwa yeyote alie na chumba ndani au nje ya chuo ambaye tunaweza kuchangia gharama tuwasiliane kwa no hii 0786 349434 awe msichana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za siku wana jamii forum wenzangu mimi ni mwalimu by professional hivo imenibidi nihangaike huku na huku kutafuta vitabu na mpk sasa namshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kupata vitabu muhimu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Tanzania Tanzania Tanzania nakupenda nchi yangu hii ndo nchi ambayo mtoto wa masikini ata afaulu kuendelea na masomo ya elimu ya juu ni ndoto za abunuasi na alinacha hii ndo nchi ambayo watoto wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam JF, Baada ya kushuhudia kongamano ya Uchumi? chuo kikuu cha Dar Es Salaam ( UDSM ) wiki iliyopita na kujionea yaliyotokea nadhani kila mwenye akili timamu amepatwa na bumbuwazi !! Sasa...
6 Reactions
43 Replies
6K Views
Kwa waalimu wa somo la kiswahili, nipende kuwa fahamisha kua!! Tamthiliya ya kitabu cha kilio chetu sasa inapatika katika CD (movie) Hii itakurahisishia zadi wakati wa ufundishaji, kwani watoto...
1 Reactions
4 Replies
11K Views
Nakumbuka wakati nachagua vyuo nilikiweka cha mwisho kwenye choice 12 uku nikiwa nimejaza education kwenye vyuo mbalimbali nilivyochagua ajabu selection zinatoka nakuta nimechaguliwa bachelor of...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Za Weekend, Jamani Mie naishi Sinza, Natafuta shule maeneo ya Karibu, yaani Sinza, Kijitonyama, Makumbusho, Ubungo, Mwenge, Magomeni, Kinondoni, etc, Mtoto anaingia Darasa la Kwanza Mwakani, Shule...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamn kuna lile tatzo la watu kuonekana katika batch 1 lakn kwenye allocation vyuon hawapo nilikua naulizia je washashughulikiwa au bado
0 Reactions
2 Replies
619 Views
Ndg members, Naomba kuuliza ni kwa nini hakuna nembo ya TBS kwenye vifungashio vya sabuni ya unga? Je, bidhaa hiyo haikaguliwi na maamlaka yoyote ya serikali kama TBS au GCLA? Je, ukimya huo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwenye uelewa wa jinsi ya kubadili kozi anisaidie.nimesoma hgk Nataka nishift kutoka bachelor of arts in archeology kwenda bachelor of arts in library and information studies nipo udsm mwaka wa kwanza
0 Reactions
3 Replies
919 Views
Ebwana vipi Kupitia YouTube nimeamua kufungua kaChannel kangu kanachohusu Tech....yaan matatizo yote ya Technology kuhusu simu yako na Web kiujumla. . Leo nataka niweke video 5 za Mwanzo lakini...
0 Reactions
1 Replies
496 Views
Wassalam Bila kuchelewa naomba niende moja kwa moja kwenye mada hisika Nilikua nauliza washkaj wowote wanaochukua certificate of computer science and information technology at IFM wanipe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom