Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Katika hali isiyo ya kawaida watoto kutoka familia masikini ndio hasa wamekuwa waanga wakubwa na wameathirika pakubwa na suala zima la kukosa mikopo ya elimu ya juu.Nakumbuka maneno ya rafiki...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Mpka leo hii vyuo vimeshafungua lkn hawa bodi ya mikopo hawajamaliza kutoa majina ya wanafunzi waliopata huku baadhi ya vyuo vikiwa Tayari vimeshaanza kufundish na baadhi ya kozi topic ya kwanz...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari Wana JF Nilikuwa naomba kujua clinical in medicine diploma ni miaka 3.. Lakini kwa certificate bado inanichnganya private wengine wanasema miaka 2 wengine 1 Hata government 1 wengine 2 asa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu wazima, Maisha yanatembea kwa spidi sana, enzi hizo boarding schools zilikuwa ni sehemu ya mafunzo ya maisha mtaani, yaani ukipiga miaka minne boarding basi tayari una cheti cha kupambana...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Ni hv wandugu wanafunzi walifanya UE mwezi 9 kwenda mwaka 3 lakini kama wanafunzi 180 walipata suprimementary katika somo la IT wakafanya tena mtihan wa hlo somo ili wasapue but wanafunzi wote...
2 Reactions
56 Replies
11K Views
Usangi Girls Secondary school ni shule nzuri ya wasichana ilioko kilimanjaro wilaya ya mwanga ni shule ya kanisa la kilutheri na inawalimu wa kutosha na maabara za kisasa na computer za kisasa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Tangazo hili la mahafali limesainiwa na makamu mkuu wa chuo .Linaonyesha idadi kubwa ya wahitimu watarajiwa wa kike kuliko ile ya wanaume.Je lina ukweli ? Ukilitazama jedwali la wahitimu katika...
4 Reactions
24 Replies
5K Views
The length of a rectangular prism is quadrupled, the width is doubled, and the height is cut in half. If V is the volume of the rectangular prism before the modification, express the volume after...
0 Reactions
1 Replies
568 Views
Habari wakuuu Kuna mtoto wangu hapa wa 5yrs nahtaji kumpeleka Kenya akasome kwa level ya primary kwa sababu mm npo mpakan tu huku so naona its better nkampeleka Kenya apate angalau chochote...
1 Reactions
0 Replies
702 Views
HABARI ZENU katika pitpita zngu za kutafuta scholaship ughaibuni nimekua nikikutana na hii kit. maombi yaambatane na cheti cha ujuzi wa kiingereza cha IELTS suali cheti cha IELTS...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba yeyote anayeweza kufundisha Quickbooks kwa Gharama nafuu tuwasiliane HARAKA. Mtu yeyote anayeweza kuelewesha na kueleweka anafaa kwa hili zoezi. Kama unamfahamu yeyote ,tuwasiliane mapema...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Jf ni zaidi ya google hilo halina mjadala. Kozi tajwa japo juu inatolewa na Open University of Tanzania binafsi naiona kama ina future nzuri kwa maana ya kuona neno "ENERGY" na sio zaidi,wakuu ebu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaman nna swali kuna utofauti gani Kati ya hizi courses mbili hapo juu mwenye ufaham naomba anifungue
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Baada ya kufuta Central Admission System (CAS) na kuweka uombaji wa vyuo moja kwa moja chuoni (Direct Application to Institutions-DAI) naamini sasa tumepata uzoefu unaotuwezesha kufanya tathmini...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Naomba kuuliza kuna ndugu yangu amepoteza result slip wakati wa usajili wa chuo kikuu ,je kuna utaratibu wowote unaweza kufanyika ili kumuokoa🙏🏽🙏🏽🙏🏽
1 Reactions
1 Replies
718 Views
Poleni na majukumu wakuu,kama thread title ilivyo hapo juu naomba kuuliza hii kozi ya environmental engineering inahitaji requirements gani ili uweze kuisomea?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jamani kwa wale ambao walipata batch ya kwanza ila allocation board ilisema wasubiri, vip kunawaliopata allocation baada ya batch ya tatu kuachiwa?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kuna first year aliyepata room mazmbu naomba tushare cost unibebE mwana jf mwenzako,, 0754350882,,, nitalipa ela yote uliyolipaa ww... Usitishwe na mkwara.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hivi karibuni kumekuwa na fungia fungia ya vyuo vikuuu vya binafsi kwa kasi ya ajabu. Ina maana hakuna vyuo vya umma visivyokidhi vigezo,kanuni ,sheria na taratibu za uendeshaji? Tuwe wakweli ktk...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wadau,property and facilities management ya ardhi;inahusiana na nini ?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom