Habari wana jf,
Kichwa cha habari chahusika, Leo naomba nitoe pongezi zangu za dhati kwako na wasaidizi wako kwa ujumla kwa kufanikisha kuwakamata na kufuta matokeo kwa baadhi ya shule katika...
Loan Board baada ya kutoa ile list ya waliofanikiwa kupata mkopo. Wakaweka tena vigezo vingine kwenye allocation. Kwenye kuallocate wanasema wameweka kigezo cha unatakiwa elimu yako ya sasa iwe si...
Naomba kufahamishwa namna naweza kufanya maombi pasina kufika makao makuu Dodoma au Dar es Salaam ili kupunguza gharama za usafiri ili nijaze fomu nikiwa mkoani.
Kwa yule anaetambua au aliyewahi...
Habri Za muda huu, Zingatia mada husika. Mwenye vitabu hivi ningependa anisaidi ili niweze kuvisoma.:- Siri ya Sifuri, Mzimu wa watu wakale, Mke mmoja waume watatu, Mzimu wa watu wakale na Kivuli...
Habari zenu wana jf,hiv kuna awamu ya Tatu kutoka heslb?kama ipo, mwenye ufahamu atwambie inatoka lini maana hali ni tete na Leo bwana mpango kasema uchumi umeshuka
Asanteni
Husika na mada hapo juu,naombeni ushauri juu ya masuala ya chuo
Nimechaguliwa kujiunga chuo cha NIT na usajili unaishia tarehe 11 lakini sijafanikiwa kupata mkopo . je nifanye nini kuinusuru...
01: Laboratory assistant , Hii kozi inatolewa na VETA ina soko kweli la ajira ? na unasomea nini ? unaajiriwa kama nani ??
Sent using Jamii Forums mobile app
PONGEZI NYINGI KWA NECTA KWA KUFANYIA KAZI MAONI YANGU KUHUSU UDANGANYIFU WA MITIHANI KWA WILAYA YA TUNDURU,hii italeta fundisho ,wanafunzi watasoma kujiandaa na mitihani na si kwa njia za mkato...
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imefuta usajili wa kituo cha chuo kikuu kishiriki cha kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) na kuamuru wanafunzi wote wanaoendelea na masomo wahamishwe...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetoa orodha ya Awamu ya Tatu ya wanafunzi 7,901 wa Mwaka wa Kwanza waliofanikiwa kupata mikopo na hivyo kufanya jumla ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza...
Ndugu zangu me ni nasubiria kwa hamu uhamisho aliye na chanzo rasmi kuhusu uhamisho wa watumishi mbalimbali. Uhumisho ukitoka sept ulielekeza mwisho October sasa mpaka leo kimya.
Aliye na detail...
Habari..
Mpaka sasa naona bado wizara imenyamaza haitoi tamko lolote kwa sisi ambao tumechaguliwa mwaka wa masomo 2018/2019 kuwa tunaanza kuriport lini mwenye taarifa yyt naomba anijuze
Asilimia zaidi ya 90 ya wanafunzi walioomba mikopo wapo katika sintofahamu juu ya hatma yao ya elimu.ukizingatia vyuo vimeshafunguliwa,
Kama kuna taarifa yoyote rasmi toka bodi tujuzane wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.