Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Title ina sema "investigation on the factors affecting the academic performance in geography subject in secondary schools.
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Wanajf natumaini hamjambo! Naomba kujuzwa kuna MTU aliifanyia lamination doc fulani kimakosa. Je kuna njia yoyote ya kuweza kuondoa lamination bila kuharibu original document?
0 Reactions
4 Replies
916 Views
Naombeni ushauri wenu nimepiga diploma ya education geog na eglish ila nimechaguliwabachelor ya business studies with education vipi economics na commerce haitanisumbua?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimepngiwa hostel za mabibo ila nataka chumba magufuli. Anawetaka kubadilishana au kuniuzia magufili anitafute....kwa whatsapp 0744886096 au anipigi kwa +255 625 569 701
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepngiwa hostel za mabibo ila nataka chumba magufuli. Anawetaka kubadilishana au kuniuzia magufili anitafute....kwa whatsapp 0744886096 au anipigi kwa +255 625 569 701
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Hawa wakuu wa shule wakishirikiana na afisa elimu sekondari pamoja na afisa taaluma wa manispaa ya Bukoba wanatumia vibaya ofisi ya serikali kwa kuwabagua walimu wasio wazawa wa Bukoba.Kila mwaka...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habri wakuu,,, naomba MTU mwenye chumba cha magufuli tubadilishane Kwa mabibo.asante wakuu.
0 Reactions
0 Replies
716 Views
Professor G Mmari ndiye aliyeanzisha Open University from scratch na akawa The First Vice Chancellor na baada ya kustaafu Prof Mbwette alichukuwa usukano! I stand to be corrected.
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wakuu...embu naomba utuuelze uzuri na ubaya Wa kukaa hizi hostel mbili....
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Hivi mfano mtu ukasoma Uganda hivi akitaka kufanya kazi Tanzania ya hili course wataangalia GPA zake au wataangalia nini?? Kwa maana kuna mtu ameniambia ukisomea nchi kama uganda eti unakuwa...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
wana jopo kwanza nitoe pongezi kwa mawazo yenu na michango yenu katika mada mbalmbal humu ndani lakin pil niwasilishe ombi langu ili tuweze kumsaidia kijana mwenzetu ambaye alipatwa na matatzo...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Kwa wale walioomba medicine udsm majina tayari
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hellow bosess' wakuu, ukiacha na sababu nyingine ni kozi gani nisome ngazi ya degree na baadae master niwe na posibility ya kufanya kazi BoT au wizara ya fedha na mipango??
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wale waliosoma SAUT Mwanza. Foremost Education, nan anamuelewa Mr.Basil kwa wana Linguistics, na Mr.Sijjo kwa education measurement. Mmoja alitutesa sana kwa sababu alimpenda demu kwenye group...
0 Reactions
2 Replies
894 Views
Habari! mimi ni mdahiliwa katika chuo kikuu cha Dar es salaam,nimepangiwa mabibo hostel, nataka mtu wa kubadilishana naye mimi niende campus hall yeye aende mabibo, Asante.
0 Reactions
129 Replies
48K Views
Naomba mnisaidie wakuu! Ukisoma bachelor of science in biology! Unaweza pata ajira mapema? na wapi?
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habar wanajf naomba kueleweshwa namna nzur ya kupata references pindi unapoandaa assignment .. Ahsanten
0 Reactions
8 Replies
928 Views
Kuwa kiranja shule ya msingi enzi hizo ilikua raha sana maana inapewa heshima kubwa sana na wanafunzi pia walim. Ilikuwa sikosi pesa ya kula wakati wa break sa nne nkiwa na kampani kubwa full ulinzi.
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Mamboz! Niko saut mwanza first yr nasomea BAMC nilikuwa natafuta hostel Nje ya campus na nilikuwa nahitaji kwa haraka sana
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Link hiyo apo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom