Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
LG Nexus G internet terrible Hotspot terrible WiFi terrible Battery terrible Simu inaboa kinoma inapoteza network kila muda. Internet e tena baada ya kufanya setting zote. hakuna chip imewahi...
0 Reactions
2 Replies
857 Views
VIJANA WA KIDATO CHA NNE MNAOELEKEA KUFANYA MITIHANI YENU YA CSEE Jumatatu ya tarehe 05/11/2018 vijana wetu wanaelekea kufanya mitihani yao ya kuhitimu kidato cha nne (CSEE), Kama miongoni...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
jamani nimeanzisha uzi huu kupeana habari mbali kwa wanafunzi wa mzumbe university kama una update yoyote itupie apa
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hamjambo humu wataalamu. Kwa wale mliopata udahili wa Masters degree ya chuo cha Mkwawa, Iringa naomba tujuane. Pia kwa wale mnaokifahamu chuo vizuri tunaomba experience ya mazingira ya chuoni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, Nina ndugu yangu wa kike (DUCE) kapangiwa chumba Mabibo Hostel (kqona jina lake leo alivoripoti) na tayari keshalipia chumba nje ya hapo hivyo hatokitumia chumba alichopewa na chuo. Kwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimepata pigo lingine baada ya kuondokewa na Professor wake mahiri katika mambo ya Chemia. Ukweli alikuwa bingwa sana katika eneo lake na alishasimamia wanafunzi wengi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Distinguish setter economy from peasant economy in Africa during colonial period
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Why trading caravans going into the interior of East Africa in 19 Century carried the red flag??
0 Reactions
5 Replies
3K Views
naomba msaada wa vitabu vizuri vya kusoma kwa clinical medicine mwaka wa kwanza.kwa anatomy na microbiology (entemology) na vinginevo
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Habari wanaJF kwa ambao awajafanikiwa kupata vyuo awamu ya Nne itakuwaje kwa upande wao ukizingatia masomo yanaanza November, ushauri tafadhali. ....
0 Reactions
11 Replies
1K Views
PART A: MAISHA YA CHUONI habarini wadogo kwa wakubwa kutoka JF: Napenda kutoa Yale ya moyoni niliyonayo ambayo kwa namna moja am a nyingine yanaweza kuwa fundisho kwa watakaguswa... Maisha ya...
7 Reactions
6 Replies
11K Views
Jamani bodi ya mkopo mtuhurumie sie maana semister jumatatu ndio inaanza na hadi saivi kuna baadhi ya vyuo havitupokei kwa sababu hatujajua hatima yetu kwenu. hivyo tunaomba mya post ayo majina...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
je kama sikusoma masomo ya biashara advance accounting itaniwia ngumu??ila nilisoma commerce na book-keeping o-level, advance nlisoma hgl.. :help::help:
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Naomba kuuliza hivi kuna wafamasia wapo mtaani kwa kukosa Ajira??
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari wakuu.Naomba msaada,Ushauri wa namna ya kupata Ufadhili wa masomo..Nimepata admission ya kujiunga na Chuo kikuu cha Dar es Salaam fani ya Master of Business Administration inayoanza mwezi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale waliochaguliwa MWEKA tukutane apa tujuzane kuhusu chuo chetu labda kujua location na mazingira ya chuo nitafute kwa namba 0717798023
3 Reactions
23 Replies
8K Views
Nimechaguliwa kusoma Bachelor of science in aquaculture and aquatic science, nataka nibadili course nisome Bachelor of science in biology, naombeni ushauli wenu zote sijazijua vizuri!!
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu habari. Mwenye uelewa kuhusu degree ya Art in environmental economics and policy Naomba anfahamishe tafadhar inahus zaid nn ?,na baada ya kuwa nayo matumiz yake makubwa ni yapi?
0 Reactions
2 Replies
614 Views
habari zenu wadau wa elimu na wote wenye uelewa juu ya hii mikopo ya heslb ,nina rafiki angu amemaliza form four mwaka 2009 akaenda elimu ya kati hadi diploma na alipoomba mkopo alichaguliwa batch...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama ilivyo hapo kwenye heading Naomba msaada kidogo wakuu hapa Nashindwa kuelewa Haya madaraja ya GPA ya vyuo vikuu yakoje, Mfano first class inaanzia ngap mpaka gap , second class n. k Naomba...
0 Reactions
12 Replies
14K Views
Back
Top Bottom