Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Endapo umekuwa ukisumbuka kwa muda mrefu kutafuta mtu au sehemu kwaajili ya kujifunza lugha ya Kiingereza bila kuathiri ratiba yako ya kila siku, basi Uzi huu unakuhusu. Karibu ujiunge na darasa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
FROM THE OFFICE OF THE RECTOR The National Institute of Transport (NIT) is a public higher learning institution located on west of Dar-es-Salaam City, along Mabibo Road in Ubungo Light Industrial...
1 Reactions
22 Replies
9K Views
awamu ya nne ya udahili wa wanafunzi vyuoni kwa ngazi ya shahada 2018/2019 itatoka lini? maana hii ndio awamu ya mwisho inasemekana wanafunzi wote ambao bado awajapata vyuo watapata wote kweli?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Jamani habari ya loan allocation ndio kusema kwamba mchanganuo utajulikana ukifika chuo au heslb watatuma kwenye account za applicants. Mwenye taarifa tafadhali tujuze au hata kama kuna loan...
2 Reactions
5 Replies
754 Views
Naomba nianze kwa kuwapongeza wale wote mliochagua na mkachaguliwa kusoma chuo cha taifa cha usafirishaji NIT. Natumia nafasi hii kuwakaribisha chuoni kwani leo ndio siku ambayo registration...
3 Reactions
29 Replies
12K Views
Kipindi unafanya mtihani ukiona mwalimu anayekusimamia yupo nyuma yako na anatoa kauli za someni swali vizuri ujue unachojibu sio sahii. Ukiona anakuambia muda hautoshi malizia malizia swali ujue...
0 Reactions
2 Replies
729 Views
Za wakati huu wakuu, Nina mdogo wangu, kwenye majina ya wanufaika wa mikopo 2018/2019,Iliyotolewa na Bodi, HESLB, Jina lipo, Ajabu leo kwenye Majina yaliyotumwa chuoni kwake, SUA, Jina halipo.Hii...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kwa mtazamo wangu tabora boys ni shule ya vipaji maalum inayopotea na zisipofanyika juhudi zozote zile za makusudi baada ya miaka mitano hii shuke itapotea katika chati na i think kisimiri ni...
1 Reactions
80 Replies
14K Views
Kwa wale wanaopenda kusoma tunawajulisha kuwa mwalimu wa kufundisha kozi mbalimbali za IS Audit, security, risk assessment and risk management, conrols,governance, Value for money Audit...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Ninapenda nisome master's ya Automation and industrial control lakini kwa vyuo vya hapa nyumbani hii kozi haipo. Sasa nimeamua nisome kozi mojawapo kati ya hizo kozi tatu nilizozihorodhesha hapo...
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa awamu ya kwanza ya majina ya wanafunzi 25,532 waliopewa mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/19. Mkopo huo una thamani ya TZS Bilioni 88.36...
1 Reactions
50 Replies
20K Views
Brilliant Secondary School hii ipo DSM, hapa panahitajika Study Materials za nguvu. Naombeni physical location wakuu! Email: muuzamaterials@gmail.com
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Haya kile kilio cha wanahitimu wengi wa PCB kuachwa katika maombi ya chuo... tena wengine wakiwa na ufaulu mzuri kuanzia Div 1 ya point 8,9,.. Div 2 ya point 10,11 na kuendelea sasa kimepata...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nimechaguliwa udsm architecture ,PCB,CCB ,naweza kuomba tena MD hapohapo udsm au nikabadilishe nikifika pale chuoni? Msaada plz
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Naombaa kuulizaa jaman ,,majina ya watahiniwa walio’omba vyuo vikuu bado hayajatoka mpk xx!!? Na kama kuna hata chuo kimoja kilichotoa bac naombeni link,ahsanteni[emoji1317]
0 Reactions
235 Replies
49K Views
Wana jf msaada tafadhsli, Nina ndugu angu anayo degree ya geology ila ambition yake ni kuwa mwalimu , akiweza soma postgraduate ya education anaweza ajiliwa na serikali yetu kama mtu mwingine...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hallo wana-Jf, Nina mdogo wangu amefauli kidato cha Nne na kupangiwa Mchepuo Arts(HGK). Yeye binafsi anataka asomee Mchepuo wa Sayansi(PCB) kwani hata hiyo Combi amepasua Pia. Ninaomba...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
msaada wa vyuo vinavyotoa course ya computer science kwa diploma.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom