Kichwa cha thread chahusika
Kwa mwenye mawasiliano kwa mtu/mwalimu yeyote pale KCMC kwani nimetafuta katika website yao nimepata barua pepe na nilipotuma ujumbe majibu hayajanisaidia. Shida yangu...
Karibuni sana SAUT Mwanza chuo bora kabisa kwa utoaji wa Elimu, confirm SAUT ili upate shule ya maana, hostel za kisasa room za maana masuala ya exile labda utake wewe mazingira mazuri. Ila kwenye...
Habari Wana-Jukwaa!
Naomba msaada wenu mtueleweshe kuhusu Direct Cost vyuoni. Zinalipwa zote kwa pamoja siku hiyo hiyo tutakapofika vyuoni?
Maana vyuo vingine Direct Cost wameandika Tsh...
Wasalaam wakuu... kwanza hongeleni kwa vijana wa kidato cha sita waliofaulu.. pia poleni kwa wale tulioshindwa kufanya vema kwenye matokeo lakini kumbuka kufeli mtihani siyo kufeli maisha...
Habari za humu Wakuu?
Jamani kwa yeyote anayeelewa ni lini watatoa second batch, leo tar 27 kimya Wanafunzi wa mikoani wanaripoti lini vyuoni hapa ni shida tupu mwenye idea atueleweshe
Asante
Jaman naombeni msaada kama nilivyo waonyesha hapo chini unakuta chuo mfano wa makerere wanafunzi wote wa E. Africa wanalipa sawa ila nashanga hii mbarara wameweka ugandan na international ina...
Hellow,,,,,nilikuwa naomba kuuliza haya maswali kwa wenye ujuzi na masuala ya finance na accounting
1. Ni career ipi ina demand kubwa kati ya finance au accounting
2. Zipi pros and cons za...
toa mifano ya misimu iliyozuka katika vipindi vifuatavyo;
1. njaa ya mwaka 1975-1979
2.njaa ya 1998-1999,
3. muda mfupi baada ya kupata uhuru,
4.miaka ya vita vya kagera,
5.kipindi cha hali...
Salam kwenu nyote!
Ndugu naomba msaada wa kimawazo juu ya kozi hizi za biashara: ACCOUNTANCY na BUSINESS ADMINISTRATION katika suala zima la ajira; ni ipi kati yake iliyo rahisi kupata ajira, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.