Wale madogo mliokuwa mnasubiria awamu nyigine ya mkopo imetoka. Jaribuni kuingia kwenye account zenu....
======
WANAFUNZI 11,481 WATANGAZWA AWAMU YA PILI YA MIKOPO 2017/2018
Bodi ya Mikopo ya...
Na
Abdul Nondo.
Juzi tumeshudia bodi ya mikopo elimu ya juu,ikitoa idadi ya majina ya wanafunzi waliopata mikopo awamu ya kwanza,huku watu wasioelewa kuoneshwa kusifia bodi na serikali .ila...
Habarini wanajamvi,
Mimi nina GPA ya 3.9 undergraduate,
Niliapply Master of Education UDSM.
Nimecheck matokeo naona wamenitema,
Na wazoefu wadai si rahisi kutemwa kwa GPA hii.
Kuna uwezekano...
Habari ya mapumziko Ndugu zanguni.
Kwa siku kadhaa sasa nimejielekeza kutafuta kujua kama kunaweza kuwa na taasisi zinazojulikana kutoa ufadhiri wa masomo kwa ngazi ya shahada ya uzamivu (PhD)...
1.0. UTANGULIZI
Bodi ya Mikopo ya
Wanafunzi wa Elimu ya Juu
ilianzishwa kwa sheria ya
Bunge Namba 9 ya mwaka
2004 na ilianza kufanya kazi
mnamo mwezi Julai mwaka
2005. Kwa mujibu wa sheria...
Habari wadau wa elimu jukwaa hili limekuwa msaada kwa wanafunzi wengi sana wenye shida mbalimbali.baada ya tatizo LA code kuisha limeibuka changamoto ya asilimia ngapi MTU anapewa kutoka HESLB...
*BREAKING NEWZ: NACTE YATANGAZA KUTOTAMBUA KOZI ZA NURSING ASSISTANT PAMOJA NA MEDICAL ATTENDANTS [18|09|2017]*
*NACTE inataarifu UMMA kutojiunga na kozi Za _Nursing assistant &medical attendant_...
Kuna madogo wawili wamepata A,A,A,B, B mmoja kaandkiwa wastani wa "A" mwingine "B" na wote wamepata hizo alama katika masomo sawa.
Karbuni kwa uafafanuzi wajuzi.
Mliochaguliwa MUCE karibuni sana.
Tunajivunia hali ya hewa nzuri sana kwa masomo, mazingira tulivu, walimu wenye kujituma, library nzuri na mengineyo. Hakika hutajuta kuchaguliwa Mkwawa.
Mpaka...
Katika udahili wa vyuo unaoendelea sasa hivi kuna mambo mengi ambayo ni ya ovyo na yanaibua maswali mengi sana.
Wiki jana wanafunzi zaidi ya 600 waliokuwa wamechaguliwa. UDSM awamu ya 1 hadi 3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.