Wakuu mimi nasoma course ya marketing and public relation NIT nipo mwaka wa kwanza.nauliza je nikimalza nnaweza kuomba kazi sehemu gani? na je hii course inadeal na nini?
Baada ya sintofahamu ya hapa na pale iliyopelekea baadhi ya waombaji kufutwa kwenye udahili mpaka waziri ndalichako kuingilia kati hatimae wale wote 632 wamerudishwa bila masharti yoyote.
list...
Naomba mwenye joining instruction ya UDOM anisaidie mana mpaka sasa sijaipata na wamenambia nireport tu chuo hamna shida sasa mimi niltaka niipitie hiyo joining instruction. Mwenye nayo tafadhali
Habari!! Kama kichwa cha uzi kinavyosema hapo, juu ..Board ya mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya juu ni siku ya sita leo tangu kutangazwa kwa wanufaika wa mikopo kwa awamu ya kwanza, bado hakuna...
Mafunzo ya addo mbona hayaeleweki jamani maana Tabora na MBEYA toka mwakajana wamesoma mpaka Leo Hakuna kinacho endelea watu hawajapata hata vyeti kulikoni labda kuna mtu anaelewa zaidi atusaidie...
1. Applicants to Bachelor Degree: Mpaka leo hii majina ya selected applicants bado hayajawa released and uploaded kwenye website yao. List ya selected applicants eti ipo kwa msajiri, na...
Natumai wazima .leo nimekumbuka shule nilio soma o level kifanya sec school mkoani NJOMBE
kama kuna member waliosoma pale kuanzia miaka 2000s tukumbushane hapa watu kama.Moses mfalanyombo,hospid...
DIRISHA JINGINE UDSM:
CHUO kikuu cha Dar as Salaam kitafungua dirisha jingine la maombi udahili kwa wanafunzi wanaotarajia kujiunga na Elimu ya juu mwaka huu.
Akizungumza katika kipindi cha...
.......Usisahau KUMPATIA 'Study Materials' zinazoeleweka kutoka kwa:
muuzamaterials@gmail.com
Sisi tumeamua kuunga juhudi za kuinua elimu kwa njia hii. Njia ya kuandaa vitabu maalum kwa mtindo...
Samahani naomba kuuliza kwamba kuna uwezekano mwanafunzi akahama toka chuo kimoja kwenda kingine? kam uwezekano upo je n process gan zinabid zifatwe? Msaada tafadhari
Wandugu habari, naona vijana wengi wanauliza sifa za kujiunga na kozi za afya, mimi nitajikita kwenye ngazi ya cheti na sitashahada. Ili uweze kusoma kozi yoyote ya afya ngazi ya cheti lazima uwe...
Wakuu,
NECTA wametangaza matokeo tayari.
Kuyapata matokeo (kama yalivyotangazwa tarehe 18/02/2013), tembelea:
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 - (Hosted by JamiiForums)
Soma Pia Matokeo ya...
kumekuwepo ns uvumi kuwa kuna website ya watu wanaohitaji kwenda kufundisha somo LA kiswahili nchini afrika kusini, je kuna ukweli kuhusu uvumi huo... kama website IPO tunaomba iwekwe tujiusajiri...
Habari bandungu ,..ningependa kujua ukweli kuhusu hili swala linalotapakaa katika magroup mbalimbali ya vyuo,, kuwa kutakuwa na ongezeko la hadi asilimia 60 ya pesa ya matumizi kwa wanachuo yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.