Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wapendwa poleni na majukumu naenda direct kwenye mada batch ya kwanza ya heslb imetoka Mungu si trump nami jina langu nikaliona sasa ndo Niko nasubilia ni asilimia ngapi ili sisi walala...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari zenu wanajukwaa, Ndugu yangu amehitimu kidato cha sita 2018 mchepuo wa 'PCB' akafaulu kwa C kila somo. Ndoto yake ni kusoma Doctor of Medicine (MD) na hivyo aliomba kozi hiyo kwenye vyuo...
1 Reactions
47 Replies
10K Views
mwecau majina hayoooooo https://www.jamiiforums.com/attachments/applicant-selected-to-join-undergraduates-programmes-pdf.413960/
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari!! Niende moja kwa moja kwenye kiini cha mada ambayo inakuja kwa mtindo wa swali,He huchukua mda gani toka kutangazwa kwa majina hadi kujua allocation yako ya mkopo maana siku zinaenda na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Samahani naomba kuuliza kwa anaefahamu. mimi ni muuguzi (ngazi ya diploma) niliomba kujiunga na ngazi ya degree mwaka huu na nimefanikiwa kuchaguliwa kozi ya human nutrition(sua) swali langu ni...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Physics D,Chemistry B,Biology D na yaliyobaki ni B&C
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Habarini wanajF Eti naweza kuhamia shule na kusoma combi zifuatazo nikiwa na cut point husika PGM - CCD - 10 EGM - *CD - 7 CBG - DCC - 10 Naweza kusoma hizo comb moja wapo Ahsanteeni
0 Reactions
6 Replies
821 Views
Kwa wale wanaofahamu gharama za mtu anayeingia mwaka wa kwanza chuoni(first year) hasa chuo cha udsm anisaidie nashida nazo nahidaji nianze maandalizi mapema sababu heslb siyo ya kutegemea
0 Reactions
3 Replies
600 Views
Jaman wakuu mm Nina 3 yangu ya 25 japo so nzur lakn naona nilijitahidi nimeaplly certificate ya ualimu mpaka Mara mbili nakosa first & second sasa hvi second zimetoka simo tena nishaurini nifanyeje
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari za jioni wadau... Nilikuwa nauliza kwa wale tuliochaguliwa UDSM second round kama mmepata tetesi za admission letter kutoka coz nilipoenda mara ya kwanza waliniambia majina yameenda TCU...
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Zaidi ya miongo miwili, UCC imetoa ufumbuzi wa darasa la ICT kwa mojawapo ya taasisi zilizojulikana zaidi za Afrika, Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam na umma. Na uzoefu wa miaka chini ya ukanda wetu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kati ya vyuo hivyo kipi kina hali nzuri ya kujifunzia in terms of academics, accommodation, student welfare, general learning (conducive) environment kwa Certificate
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wale waliochaguliwa kozi ya thearter and film udom tufamiane apa
0 Reactions
5 Replies
763 Views
Uzi huu nimeuleta kama moja ya kukutana wale wote "tunaotaka kujifunza" na "waliojifunza" kuendesha mashine hizi ambazo ni heavy duty. Tupeane maujanja ya hizi mashine maana tumeona zinafursa...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu. Baada ya kukaa muda mrefu nyumban Nmeona bora nkaombe kufundisha katika vyuo/ college hizi znazotoa course za nursing and midwifery ingawa mim sijasomea kabsa hyo course maana...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu salam. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeshatoa first batch kwa undergraduate so nina amini kuna watu wamechaguliwa Dar es Salaam University College of Education (DUCE), mimi ni mwanachuo wa...
1 Reactions
243 Replies
39K Views
salam zenu wakuu!.nimejaribu kutafuta historia ya wanafunzi bora(wa kwanza) au tanzania one hapa tanzania kwa kidato cha sita lakin sikufanikiwa kupata. Naomba kwa yeyote mwenye historia ya...
0 Reactions
65 Replies
25K Views
Habarini wanazuoni na wabobezi wa elimu. Niko mbele yenu kuna masuala nataka niyajue juu ya taaluma ya OUT (open university of tanzania). Kwa watu waliosoma au kuwa na uelewa juu ya hii system ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari . Kuna course gani ngazi ya cert au diploma katika chuo kikuu chochote kile kam unakujua Plz course na chuo Ahsanteee
0 Reactions
2 Replies
701 Views
Habari wana jf Nina mdogo wangu amechaguliwa UDSM na UDOM second round,kilichotokea ni kwamba mara baada ya kuchaguliwa UDSM walionekana kufanya confirmation bila taarifa kwa mwanafunzi,tulipoona...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom