Kwa waliomba chuo cha ifm diploma au certificate kuna ambaye ameshapata joining instruction mana mimi nimeenda sana pale wananiambia bado na tayari kwenye account yangu walithibitisha...
msaada wadau.
kwa yeyote yule aliyepata admission letter ya bch of electrical engineering anisaidie namba yake ya whatsap nahitaji msaada wakujua kilichomo ili nijiandae.
1. Swali: Je, nitajuaje kama nimepata mkopo?
Jibu : Tembelea tovuti ya www.heslb.go.tz ili kuona orodha ya waliopata mkopo. Tumia namba yako ya mtihani wa kidato cha nne uliyotumia wakati wa...
Wakuu 3rd round application ya vyuo nilibahatika kuchaguliwa vyuo viwili,Mwl.Nyerere Academy na Muslim University,ila baada ya kupata code kutoka tcu bas nikaconfirm Mwl.Nyerere,ila nmeingia...
Rehma na amani ziwe juu yenu.
Guys nahitaji msaada wenu nimemaliza form six 2014 nimeapply TCU bt first selection nliomba logistics and transport management (NIT) but unfortunately nime'login...
Wakuu habari zenu. Baada ya TCU kuachia first batch, niko hapa kujibu maswali na kutoa hints kadhaa kwa ndugu zangu first year wanaokuja DUCE.
Dar es salaam University College Of Education (DUCE)...
Nawapa pole wale waliokosa mkopo awamu ya kwanza pia niwaombe muwe wavumilivu kwani kuna awamu ya pili ingawa hii itawahusu sana wale walioomba chuo awamu ya tatu na nne.
Kama wewe ulipata chuo...
Mwenye uelewa anisaidie jamani. Mbona ada zao kubwa tofauti kabisa na vyuo vingine vya diplomas?
S/N
Program Name
Program Duration (Yrs)
Tuition Fees
1.
BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN...
Habari wanajamii, nina mdogo wangu anaumri wa miaka 20, akili yake haiko sawa, kila chuo tukijaribu kumpeleka anashindwa,ameshamaliza course mbali mbali kama mapishi,computer na ufundi lakini bado...
Niende moja kwa moja kwenye mada kuna mdogo wangu alichaguliwa mkwawa univerty awamu ya pili course ya bachelor of education in science lakini leo natumiwa sms kuwa katika majina yaliyotumwa kwao...
Je kuna jambo fulani huliwezi tena yaani umeshalifanya mara zaidi ya moja linakushinda na ukasema hulifanyi tena hii inaitwa KUKATA TAMAA
Umeomba kazi kila unapoomba unakosa na ukasema sasa basi...
Wanajamvi,awali ya yote tumshukuru muumba kwa yote hasa nyakati hizi za dhiki kuu.Nimekaa,nimetafakari na nikahitimisha kwa kujihoji mambo kadhaa ambayo yamo katika 'mwenendo wa somo la Lugha ya...
Kwa ndugu zetu wote walioomba mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo tajwa, tafadhalini tazameni majina yenu katika nyaraka hii. Ifahamike kuwa hii ni awamu ya kwanza na mchakato Zaidi...
1. Swali: Je, nitajuaje kama nimepata mkopo?
Jibu : Tembelea tovuti ya www.heslb.go.tz ili kuona orodha ya waliopata mkopo. Tumia namba yako ya mtihani wa kidato cha nne uliyotumia wakati wa...
Samahani kwanza jaman hii post nimepost kimakosa ndio maana hada heading yake haijaka vizuri kwa kifupi ni hivi. Kuna vijana wengi tu waliomaliza mwaka huu ambao wameomba course SUA na wanavigezo...
Nina physics C chemistry B bios D olevel plus diploma pharmaceutical Science GPA 3.8 naweza pata Chuo kusoma Bsc pharmacy...???.. coz nimetishwa na kigezo cha olevel credit of bios and chemistry...
wakuu kwema,
kam kichw cha habari kinavojieleza naomba msaada wa kuwasiliana na mwalimu.yoyote kutoka shule hiyo au ambae anaweza kufanikisha mimi kupata mawasiliano kutoka hapo naimani jamii hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.