Habari za muda huu wana jamvi.
Nina rafiki yangu kamaliza mwaka jana degree ya mambo ya afya (hajaajiriwa). Sasa ali apply masters yake akapata pale muhimbili na kuripoti ni tarehe 22 mwezi huu...
Wakuu tafadhalini naombeni mnisaidie kuhusu maisha ya chuo kiujmla,hasahasa upatikanaji wa chumba/hostel kwa mwaka wa 1,changamoto za hapo chuo ni zipi ili nijipange kukabiliana nazo,,n.k,karibuni...
1.Havina websites ambapo unaweza kupata tarifa zake. Matokeo yake ni Mahangaiko matupu kwa mtu anayetaka kupata taarifa mbali mbali kama kuoma chuo, joining instructions etc.
2. Kutokuwa na...
Frank Francis mwanafunzi pekee aliyewahi kuwa wa mwisho darasani kidato cha sita mwaka 2006 Mpwapwa sec,wa kwanza mihula sits mfululizo shule ya msingi Mihayo Mkoani Tabora(1993-1996) na wa saba...
Ndug wana Jf nimeileta Mada hii kusudi tuweze kuchambua, kwa kina kuhusu elimu zitolewazo shuleni na vyuoni ni kwa kiwango gani kinawasaidia wanafunzi kuwa na uwezo binafsi wa kufikiri na kuweza...
Habari zenu wana JamiiForums,
Gharama za majoho vyuo vikuu ziko juu sana, kila mtu anahitajika kutoa Tsh 50000/= kwa ajili ya joho moja na hilo joho unakaa nalo week moja tu unalirudisha na...
Habri za muda
WanaJF
Naomba kujua eti kuna tofauti kati ya course hzi
>Basic Technician Certificate in Clinical Medicine
>Technician Certificate in Clinical Medicine
>Ordinary diploma clinical in...
IMPORTANT NOTICE
21/08/2012
PAYMENT OF TUITION FEESAND DIRECT COSTS:
ALL UDOM STUDENTS (FIRSTYEAR AND CONTINUING STUDENTS)
ARE REQUIREDTO PAY TUITION FEES AND DIRECT COSTS FOR
THE 2011/2012...
Habarini ndugu ?
Kama kichwa cha uzi kilivyo hapo juu, ninaomba anayefahamu jinsi ya kupata karatasi halisi (original) zote za masomo yote, za mitihani iliyopita ya mitihani ya kitaifa Tanzania...
Ndugu wanajukwaa la elimu poleni na jitihada za kuipigania elimu yetu.nikienda moja kwa moja katika mada inavyouliza hapo juu.Nimeamua kuleta mbele yenu kama mjadala baada ya kufatilia kwa muda...
wakuu habar kwema Mimi nimechagiliwa mzumbe kozi ya sheria main campus lakin admission letter ni ya mzumbe campus ya mbeya kozi ya human resource nawapgia cm hawapokei nifanyeje wadau
habari zenu, nimemaliza form6 nahitaji kusoma diploma ya kilimo je naweza kupata ufadhili wa masomo yangu ya kilimo na chuo.marks zangu ni
GEOGRAPHY-D
CHEMISTRY-D
BIOLOGY-E
BAM-S
GENERAL STUDY-S
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.