Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
mweny uchambuz wa vitabu vya fasih vya o-level engilsh language naomb anitumie canceltz0308@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba kuuliza hivi kuna mtu yoyote aliyechaguliwa IFM amefanikiwa kufanya confirmation, Maana system inaniletea blank page nikiweka zile codes za TCU. Msaada tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ningependa kujua Hawa watu,( watajwa hapo juu) wanafanya kazi gani na vituo vyao vya kazi
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakati tunatumia CAS kila round ikiisha TCU wana kuwekea data kuna nafasi ngapi zilizowazi kwa kila program ya kila chuo. Unajipima halafu ndio unaomba. Kwa sasa hili haliwezekani kwani watu...
2 Reactions
38 Replies
7K Views
Wakuu kwa wale tulio omba udom 3rd round hichi kitu kina maanisha nini tume pata katika single au ndo system zina sumbua,maana uki ingia sehem ya kuapply hakuna mwitikio wowote na profile ipo kama...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuachiwa kwa first batch ya mkopo ndo kunanukia wenye presha za ajabuajabu mjikaze jamani,Ila angalizo hatuitaji misiba kama utakosa tafta namna nyingine ya kujisonesha.yakitoka unatakiwa...
1 Reactions
9 Replies
845 Views
Habarini , naomba kujua tofauti ya masters ambayo duration yake ni miezi 18 na ile ambayo ya miezi 24 especially kwa udsm. Je duration ya semester inatofautiana? Pia kama kuna utofauti wa mda wa...
0 Reactions
2 Replies
885 Views
Nimechaguliwa mati ilonga diploma ya general agriculture under government sponsorship kuripot kuanzia tarehe15 ya kesho had29 mwezi huu,nahitaji kujua location ya chuo ukitokea msanvu.Asanteni
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Je ni uelewa mdogo kuhusu hiz course Au Qualification zake zinawabana?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau msaada kwa anaye fahamu chuo kikuu kinachotoa program/au facult ya special education kwa viziwi,Vipofu.
0 Reactions
2 Replies
872 Views
habar wakuu.naomba ushaur zaid hapo juu kabla cjafanya uamuzi.ipi inalipa na ajra zake ni fasta
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Baraza la Taifa la Elimu na Ufundi (Nacte) limezuia vyuo 163 kudahili wanafunzi katika kozi mbalimbali ngazi ya astashahada na shahada, baada ya kukutwa na upungufu ikiwako kutokuwa na walimu...
1 Reactions
39 Replies
26K Views
Samahani waugwana naomba kama kuna mtu anajua chuo chochote cha elimu maalum kizuri anisaidie jina..plz
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Academic transcription refers to speech to text conversion of lectures, seminars, discussions, presentations held in schools, colleges or universities into a text format for educational purpose...
0 Reactions
1 Replies
626 Views
Nilikuwa kwenye dala dala natoka mjini naelekea nyumbani....ndani ya daladala akawa anahadithia mdada kuwa yeye ni mtumishi wa umma na alisoma udsm...alipopata kazi mwaka 2008 ndipo Heslb walianza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu kuna mtu anauliza kati ya bachelor of art in geography and environmental studies na bachelor of art in library and information studies ipi ni nzuri kusomea
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wakubwa kuna mdogo wangu amechaguliwa hiyo kozi nit nilikuwa nauliza field zake unafanyia wapi na unaweza kujiajiri?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapendwa nimepata story kutoka Junior Seminary Morogoro wamevunja mkataba na mzabuni aliyekuwa na tender ya Ku supply mikate (burge) kwa ajili ya wanafunzi na kuamua kutumia wanafunzi kujipikia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Msaada kuhusu chuo cha kodi cha ITA kipo vizuri na ajira zake znapatika???
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom