SUA siwaelewi kwa kweli mimi, wanatoa tangazo la 3rd round wakati tupo mbele zaidi 4th round?
hata hivyo sielewi mfumo wao upoje, NO ANY SELECTION UPDATES KWENYE ACCOUNTS, AU MIMI TU?
MWENYE...
Nafahamu wapo wanafunzi ambao wamekosa nafasi ya kuingia chuo mpaka sasa kutoka na wao kung'nga'ania kuchagua vyuo/kozi zenye ushindani hivyo kutupwa nje kutokana na competition.
Habari njema ni...
Mwenye taarifa na hili ninaomba aliweke hapa jukwaani.Nimesikia kuanzia mwakani mwezi Julai Wakuu wa shule watalipwa Tshs 250,000 kwa mwezi kama posho,wakuu wa vyuo 300,000.
Waratibu elimu kata...
Mheshimiwa Admin mkuu na wengine wadogowadogo. Tafadhali naomba nije na mada hii.
Walimu wenzangu Wa Kiswahili naomba sana mnisaidie katika nano hili hapa
Wa-ta-ka-o-ku-j-a
Kiambishi *ka* kina...
Mpaka sasa hakuna chuo cha kilimo ambacho kimetoa matokeo ya maombi ya kujiunga na certificate/diploma za kilimo. Kuna nini? Inaonekana kama kuna usiri wa aina fulani, maana tulitegemea kuwe na...
Hy wakuu.....!!
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza hapo juu, wale wote tuliochaguliwa MATI MTWARA.. Vipi kuhusu Joining instructions kwa CERTIFICATE GOVERNMENT SPONSORSHIP kuna mtu...
Wakuu;
Mpaka mudaa huu vyuo vikuu mfano,udsm,udom,mwecau n.k havijatoa mrejesho kwa wanafunzi wa round ya tatu.
Hali ya kuwa tarehe 13/10/2018 wanafunzi wa round ya nne wanahitaji kuanza kuomba...
Kudos my alma mater.
Naangalia hapa interview na ninamuona mama Ndalichako kaketi mbele ya library mpya kampasi ya mw Nyerere,anadai imegharimu dola mil 40 na kila kitu kimekamilika bado kupiga...
Kwanza kabisa naomba kusema asenteni sana kwa ushauri wenu na misaada yenu mungu amenijari nimepata chuo asante sana kwa wote mlio ni saidi nimepata KCMC kama kuna mdau wa huku mungu akipenda...
Kwa wale wanafunzi mliojaribu kufanya application kwenda vyuo vikuu kwa awamu ya kwanza na pili na ukakosa basi fahamu kuwa kuna kitu unakosea.
habari njema ni kwamba TCu wametoa nafasi kwaajili...
Abari zenu wakuu ... kwa wale waliotuma maombi chuo cha ardhi morogoro ngazi ya diploma, au kama kuna mtu ana taarifa yoyote anijuze.. maana naona mda unaenda bado wako kimya...
Wakuu pole na shughuri, jamani nina mdogo wangu kakosa nafasi ya afya alikuwa na PCB point 10 sasa amesema ataomba mwaka ujao,
Sasa anataka kusoma computer, wakuu nisaidie vyuo vinavyofundisha...
Karbuni, kumekuwa na urasimishaji Wa ardhi kwa wananchi, kupitia hivyo kuna mfumo unaoitwa upimaji shirikishi hasa kwa maeneo ya huku mikoani, hivyo mwenye uelewa zaid ya zoez hili Mara baada ya...
Message…nilituma maombi bodi ya mikopo ila cheti changu cha kuzaliwa kilihakikia na maafisa wa RITA wa wilaya kikasainiwa na kupigwa muhuli na mahakama. Je kuna shida naweza kutana nayo katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.