Ni weekend nyingine wakuu natumaini mu-wazima wa afya.
Kuanzia 2015 mpaka sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la wadahiliwa kukosa vyuo au kozi ya ndoto yake ingawa kuwa ufaulu wake unajitosheleza...
Naam,jamani tupeane mawazo mtu asome kwanza Kisha atafute ajira au afanye kazi kwanza kwa level ya elimu ndogo kisha akajiendeleze?
Najua Kuna watu watapata majibu yao Leo hapa.
Hatimae TCU waona maoni ya watu kuhusu mifumo mibovu ya vyuo vingi katika udahili wao kwa kutokubaini vacant courses zilizo baki katika udahili uliopita,
SEE ATTACHMENT
Wanabodi, baada ya kuona changamoto za udahili wa wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu mwaka huu na mwaka jana nnashauri sasa Serikali ione umuhimu wa kurudisha ule mfumo wa kufanya mombi ya...
#NENDA_CHUO , #NENDA_MDOGO_WANGU
Nakupongeza kwa kufaulu kwenda Chuo Kikuu , aya nenda Mdogo wangu.
Wanafunzi 40,000 watapata mkopo , na wewe utapata mdogo wangu nenda.
Najua hujawahi kumiliki...
*[emoji95]BREAKING NEWS : TAARIFA MPYA KUTOKA TCU KUHUSU WANAFUNZI WANAO-APPLY VYUO NA WALIOCHAGULIWA MULTIPLE SELECTIONS AWAMU YA PILI-2nd Round SELECTIONS*
[emoji828] maelekezo na UFAFANUZI...
Msaada wadau wa Iringa mjini, jambo nzuri huhitaji kujipanga!! Hivyo najipanga haswa! Utakuwa poa sana kama hicho kituo kitakuwa kinatoa tuition ya masomo ya ;
Chemistry
Geography
Mathematics
Wadau nimekuja kwenu leo, kutaka majibu ya maswali yaliyokuwa yananitatiza kwa kipindi kirefu.
Na pia nimeamua kumwaga hoja hii mbele yenu nikiamini kabisa kuwa hapa ni mahala sahihi kwa kila...
Habr ya jioni wana Jf,
Nimeona tangazo la TCU kuwa watafungua dirisha la udahili vyuo vikuu awamu ya 4 kuanzia tarehe tajwa juu kwenye HEADING.
Miongoni mwa vitu walivyosisitiza ni chuo husika...
Naomba kuuliza swali ndugu zangu, mfano MTU ana degree ya engineering alafu anataka kusoma postgraduate diploma ya education, je akimaliza anakuwa mwalimu au? Nahitaj elimu hapo
Niliwahi kuandika kuhusu Academic freedom yafuatayo:-
Academic Freedom ni uhuru wa wanataaluma kuruhusiwa kufanya tafiti na kutoa matokeo ya tafiti zao bila kuingiliwa na mtu yoyote.
Academic...
Habari za saivi wakuu naomba kujuzwa juu ya ubora na mazingira ya DIT mwanza compus ,hiki chuo kizur? na je coz ya science and laboratory techlogy ni nzur? Inaajira za kutosha?
Wanataaluma wote salama?
Nimeona matokeo ya kidato cha sita (mtihani wa taifa) mwaka 2007 shule nyingi tu, ambapo unakuta wanafunzi wa shule moja wanakuwa na points za ufaulu zinazofanana lakini...
Natafuta wanafunzi wanaosoma chuo kikuu cha dodoma kozi ya environmental engineering especially wale wa mwaka wa kwanza
Nataka niwaunganishe na wale wanaosoma chuo cha ardhi kozi hiyo hiyo ya...
habar wakuu,Mimi nilichaguliwa selection ya pili nkwawa kama direct yaan nilpata chuo hcho tu na nilipoangalia kwa wale waliotoka kwenye multiple sikuwepo na profile zoote za vyuo nlivyoomba...
Ushiriki wa wazazi katika mchakato wa ujifunzaji wa watoto ni suala lisilo na mjadala. Matokeo ya tafiti mbalimbali zilizofanyika hapa nchini yanasisitiza kuwa wazazi wanaposhirikiana na walimu...
BNY SERVICES.
Wanatoa huduma ya private tuition kwa wanafunzi na wasiokuwa wanafunzi katika mambo muhimu yafuatayo:
1)Wanafundisha wanafunzi wa O-level kwa masomo ya mathematics,physics,chemistry...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.