Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari Jf.Madereva wanao endesha magari ya serikali kama wanao waendesha wa kuu wamikoa wa kuu wawilaya makatibu tawala(rasi)na wa kurugenzi wa taasisi mbalimbali,naomba kujua na takiwa nifanye...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa wale wanaokifahamu chuo cha ita naomba information wakubwa nimechaguliwa hapo koz ya tax and custom management
0 Reactions
0 Replies
965 Views
hv jaman information managent ni cozi nzur au mbaya na ajira zke ni kama wp hv na je inalipa?
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Humu najua kabisa kuna watu mnavichwa vikubwa vya kufikiri — Great Thinkers — na kwa hiyo natumaini nitafaidika na michango yenu kuhusiana na Elimu hii mpya. Nahitaji kujifunza namna ya...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi, mwalimu msingi kahama nipo nataka moro asante,ni inbox
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Za kuamka waungwana, naomba kuuliza juu ya application kwenye vyuo vya afya. Nina mdogo wangu kaapply st. Francis certificate ya pharmacy lakini mpaka Sasa hawajatoa majibu na ukiwapigia hawatoi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar zenu wakuu naomba kujua waolio apply second round majina yao yanatoka Lin au kama yametoka mwenye anayo bas
0 Reactions
197 Replies
23K Views
Mwalimi anapaswa kumfundisha mwanafunzi kwa kuzingatia nyanja kuu tatu ambazo ni; 1). Maarifa(cognitive) (2). Stadi(psychomotor) na (3). Mwelekeo(Affective). Kwa maana nyingine, mtoto anapaswa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ombi langu ni kwa wale kaka zetu na dada zetu waliopo Ifm ningeomba waanzishe Ifm special thread ili kuweza kutusaidia wadogo zao wa mwaka wa masomo 2018/2019 mambo mbalimbali
0 Reactions
2 Replies
545 Views
"Hatuna wanasayansi tuna watu wanaosoma sayansi...hatuna mainjinia ila tuna watu wanaosoma injinia….kama tutafumua mfumo wa elimu kuanzia shule ya msingi itasaidia kubadilisha mfumo wa...
9 Reactions
54 Replies
5K Views
Naomba kuuliza jinsi ya upatikanaji wa admission letter kwa wanafunzi waliochaguliwa UDSM tafadhali kwa yeyote mwenye uelewa na hili anisaidie..
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Uku Geita mbona sisi walimu wapya amtaki kutupa fedha ya kujikimu mpaka saiv
0 Reactions
1 Replies
657 Views
Habari wakuu, Vyuo mbalimbali vimeanza kutoa majina kwa waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu. Stella Maris Mtwara, Makumira, St.Joseph, Saut, CUHAS na vingine. Nitaendelea kuwafikishia kadri...
8 Reactions
395 Replies
160K Views
Muda uliopita niliomba ushauri kuhusu mahali pazuri zaidi panapofaa kwa ajili ya kupata taaluma ya sheria lakini naona wadau wengi waliidharau Udom. (sijui ni kwanini???) Ndugu yangu amemaliza...
0 Reactions
132 Replies
22K Views
Kwa mujibu wa ratiba ya TCU leo tarehe 06/10/2018 ndiyo ilikuwa tarehe ya mwisho ya kutoa feedback kwa wale walio chaguliwa thidr round lakini mpaka muda huu saa 9:44 hakuna kitu chochote katika...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
habar wakuu,juzi niliandika thread iliyokuwa inaelezea tatizo la akaunt yang ya udsm campus ya mkwawa kuw nimetoka kwnye multiple wakat ukwel haukuw hvyo.sasa Leo mida ya SAA NNE hv naona...
0 Reactions
2 Replies
818 Views
Kutoka TCU tangazo kwa umma
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakubwa, Nataka kurudi shule, nina qualification zote, nisomee kozi ipi kati ya NISOMEE IPI KATI YA DIPLOMA IN PHARMACY NA BACHELOR IN BIOMEDICAL ENGINEERING
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari wana JF...... Naomba msaada wa Majina ya Shule za Wasichana za Boarding zilizo chini au kusimamiwa na KKKT na Mawasiliano yao kama yapo itakuwa vyema........ Shule ambazo zipo Dar wa...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wanadau kwa yoyote mwenye dondoo juu ya hasa ni lini selection za round ya tatu zinatoka tupeane update kupitia uzi huu. Maana siku zinasonga kwa kasi halafu wengi hatujui hatma yetu. Tafadhali...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom