Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba kujua coz ya Economics and finance inatolewa chuo kipi tanzania
0 Reactions
1 Replies
845 Views
Wadau naomba kufahamisha Vyuo vinavyotoa Certificate ya Community Health.
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Naomba kujuzwa fulsa za ajira kwa artecture
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Wana jf nilikuwa naomba ushauri kuhusu coz ya bsc.degree in biology je aneyeisoma hii course mbeleni anakuja kuwa nani na kuhusu ajira hii course imekaaje huko??
0 Reactions
4 Replies
958 Views
Jamani wana jf naombeni msaada wenu mm ni mhitimu wa kidato cha sita na nimechaguliwa kujiunga na Sua kupitia course ya bsc.animal science lakin nataka nibadili kwenda bsc.biotechnology je...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salam wakuu... Naomba kujua au kuuliza kama kuna vyuo ambavyo havijafunga usajili mpaka mda huu plz
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Roses Are Red, Violets Are Blue. Poetry is Dead, It Got The Flu.
0 Reactions
0 Replies
562 Views
Kwa walio bahatika kupata chuo awamu ya pili..!! .....cjaelewa kinachoendelea kutoka TCU mpaka xx ukiingia kwenye accont mfan udom wanakuambia uweke izo code, labda mwenye newz kuhusu ili swala...
0 Reactions
81 Replies
10K Views
Mi lini hii time ya vyuo vikuu itafutwa?Maana sio kwa usumbufu huu tunaopata katika kuomba vyuo vya elimu ya juu. Mpaka sasa kuna maelfu ya wanafunzi hawajui hatma yao katika masomo,wameshindwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nmeeamabiwa kua kuna watu wengi amja pata code kwa walio enda ofisni mlioko udsm mtujuze kilicho jili uko tafadhali
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Pole na majukumu wakuu niende kwenye mada moja kwa moja..round ya pili ya selection vyuoni nimechaguliwa mzumbe na nikachaguliwa katika chuo kimoja tu, Mzumbe walinitumia sms kwa cm yangu kuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kwa sas unaweza kufanya application kwa vyuo vya afya diploma
0 Reactions
4 Replies
645 Views
Habari zenu wana Great thinkers. Naomba msaada wenu kwa anaejua shule ya mbwa ktk mkoa wa Dar es salaam. Ninampango wa kununua mbwa aina ya PITBULL lkn nasita kwakua nimeambiwa aina hii ya mbwa...
0 Reactions
114 Replies
18K Views
Pengine unaweza ukawa unamijusi, panya au ndege fulani nyumbani kwako kumbe masikini unaishi na nyara za serikali bila kujua. Nyara "trophy", si neno geni masikioni mwako.. ni wazi kuwa umekua...
2 Reactions
12 Replies
11K Views
poeni na kazi wakuu,samahani naomba kupewa ufafanuzi juu ya hii kozi ya raging management, kuna mdogo wangu kachaguliwa kwenda kuisoma sua
0 Reactions
4 Replies
3K Views
samahanini wadau nlikua nauliza hv course ya information management ina apply wp hasa na pia ajira unaeza pata kama sehem ipi na je unaeza kujiajir na ..pia nlikua naomba ushaur wenu kama ni nzur...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Je Kusoma Degree Bachelor Degree For Five Years But Ni Abroad(South Korea) Kuna Ubaya Au Ushauri Please
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Naombeni joining instruction ya UDSM
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Baraza la Taifa la usimamizi wa elimu ya ufundi (NACTE) limekifunga Chuo cha YRM Institututes of Business and Technology kilichopo Ilala jijini DSM kutokana kutoa huduma bila kusajiliwa huku...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana JF Naomba kukutana na kijana yeyete aliyesoma UCC, kituo chochote.. Tunaweza kugawana fursa kulingana na ushirikiano wake kwangu... Kwa yeyeto ambaye yumo humu au unamfahamu ndugu...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom