Mwalim: We Bwenga mbona upo nje wakati wa vipind?
Bwenga: fanya yako fala wew, maisha yangu hayakuhusu
Mwlim: [emoji15] [emoji33]whaat!!!
Bwenga: Ujasikia au[emoji1610]chukua time sir [ huku...
Nimeona nifungue huu uzi ili tupeane maujanja ya kupata scholarship nje na ndani ya nchi.
Scholarship hutolewa kwa namna mbili-
1/Full scholarship
- Hii mwanafunzi hulipiwa miaka yake yote ya...
Ndugu wanajamvi hii ni hatari kwa taifa na watoto wetu.kufuatia uongozi uliopo madarakani kwa sasa chini ya headmaster col.MWANGASI na wasaidizi wake kufuja pesa mpaka kufikia kushindwa lipa...
Habari zenu wakuu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni naombeni kwa wenye maelezo ya kutosheleza kuhusu kozi hii ya REGINAL DEVELOPMENT PLAN naombeni mnipatie full dertails ikibidi na soko...
Nimehitim kidato cha sita 2016 sikuwa na sifa ya kusoma diploma nikaenda kusoma Grade AIII nimehitim mwaka huu nahitaji kuendeleà kwa ngazi ya diploma naingiza index no ya Grade III A haisomi...
Wadau nina elimu ya kidato 4 na certificate ya urasimu ramani chuo cha ardhi Tabora ya miaka 2, je kwa sifa hizo naweza kuomba kujiunga na Chuo kikuu cha Ardhi kwa kozi ya Mipango miji au kuna...
Kama kichwa kinavyosema hapo juu ...ni kuwa ninahitaji kusoma masters ya regional development planning au masters yoyote inayoshabihana na course yangu nje ya Tanzania sasa naomba kusaidiwa...
Jamani Wanajamii Habari ya mchana
Napenda kuomba msaada wenu Kwa yeyote anaejua kilipo chuo kinachofundisha madereva wa malori tuu hapa dar Es salaam
Mdogo wang anapenda kuwa dereva wa lori...
Baada ya kusubiri codes toka jana bila mafanikio hatimaye leo nimepokea simu tatu, nilipigiwa na ofisi ya admission chuo cha Mipango Dodoma asubuhi, Mcha
Na hivi sasa nnimepigiwa simu kutoka...
Naomba msaada apa kidogo jaman.. Nmeanza kufuga kuku wa kienyej na pia natamani niongeze aina nyngne ya kuku... Na aina ya kuku ninaotaman ni kuroiler.. Swali lang ni Je nitawezaje kutofautisha...
Wakuu habari zenu? Kuna tetesi zinaenea kuwa matokeo ya darasa la saba yanaweza kufutwa kutokana na hali ya uzembe ya usimamizi wa mitihani hizi habari zimekaaje wakuu ni kweli au porojo tu!
MAMBO 8 YA KUSHANGAZA YANAYOFANYWA NA MWILI WAKO KUKULINDA PASIPO WEWE KUJUA.
Mwili wa binadamu unafanya mambo mengi ya kibaiolojia ambayo mara nyingi ni vigumu kuyaelewa.
Mwili una mifumo...
Habar wana jf kuna kozi inaitwa theater and film art ningependa kuifahamu zaidi kwa upana ina husu nini,changamoto zake faida na ajira yake kwa tanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.