Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wana jamii forum eti naomba kuuliza utaratibu wa kutuma maombi ya kupata hiyo fursa ya kufundisha kiswahili Afrika kusini.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
01: Bachelor of art in mass communication 02: Bachelor of art in public administration 03: bachelor of library and information management 04: bachelor of art in sociology. 05: bachelor of art...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Jaman naiman mmeamka poa wana jf Mimi Niliomba st john awam ya pili na akaunt yang inaonesha kaneno pending kama mnavoona msaada tayadhali
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu ,binti yangu amemaliza std 7 anangojea matokeo ,alikuwa anasoma Shule ya private huko mwanza sasa tumeamia Dsm kwa hiyo atalazimika kusoma Shule ya sekondari huku , Nimeandika hapa...
2 Reactions
47 Replies
39K Views
Tujuzane lini majina ya 3rd round yatakua out ! Na vyuo vitakavyotoa majina
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa akili yangu ya kunywea bia naona ni bora kwa billions zinazopelekwa kwenye elimu bure zitumike kujenga veta nchi nzima kila kata ili mtoto wa kabwela akimaliza msingi au sekondari akapate...
1 Reactions
6 Replies
899 Views
Khabari wana Jf, naomba msaada wa kujua chuo kinachoweza kuchukua mwanafunzi aliehitimu 4m6 mwaka jana kupata III.16 Kwa pcm
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habr za kazi wakuu,niende moja kwa moja katika mada yangu kama ilivyo andikwa hapo juu. Mimi ni mwalimu Wa sekondari ya Nkome iliyoko mkoa Wa Geita,wilaya ya Geita vijijini,Kata ya Nkome,naomba...
0 Reactions
1 Replies
746 Views
Samahan naomba kuuliza selection za dilploma zinatoka lin?? Mana application tumefanya muda mrefu?
0 Reactions
3 Replies
863 Views
wadau nimechaguliwa MUCE iringa sasa nauliza utaratibu wa kuhamia mlimani campus itawezekana?ushauri tafadhal
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa,mimi ni muhitimu wa diploma ya ualimu nimeapply udsm kwa round ya pili sasa hivi nimeingia kwenye profile yangu naona wameandik Hivi STATUS : Successfully selected on : Bachelor...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu poleni na kazi, nimeshtushwa pale nlipowasiliana na ndugu yangu wa siku nyingi ambaye yeye anasoma chuo cha kimataifa cha kampala baada ya kunipa taarifa kua alichelewa kulipa Ada na...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hellow members Majina ya second selection yanatangazwa lini?? Hivi ni TCU ndio wanachagua 1 kwa 1 au chuo wanapeleka tena TCU.
0 Reactions
27 Replies
8K Views
msaada mwenye uelewa na hii kozi nimechaguliwa mzumbe wakati sikuichagua kabisa.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa,naomba mwenye ufahamu na haya mambo aweze kutujuza JE YAWEZEKANA MTU ALIYEOMBA KUDAHILIWA MASTERS NA AKAFANIKIWA KUPATA NAFASI YA MASTERS,JE ANAWEZA KUBADILI NAFASI ALIYOIPATA...
0 Reactions
3 Replies
922 Views
Wakuu Habari zenu! Kwanza Kabisa Natunguliza Kusema Mimi sio Mwanafunzi (Nimemaliza Kusoma Tokea 2005) Wala Sihitaji Kusoma Kwa Sasa. Ila Kuna Staff mwenzangu Ana Mtotowake Ambaye ana Div II ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Msaada tenaa ...jamanii naitajii mtu yoyotee mwenye joining istraction ya masomo ya afyaa kwa chuo chochotee cha government ..kuanzia 2016 mpakaa 2018 ..kwa certificate na diplomaa ...msaada wenu...
0 Reactions
3 Replies
804 Views
Nimefanya kazi ya kuwasaidia watu ku apply vyuo kwa miaka kadhaa sasa tangu huu mfumo wa kutumia 'Admission System' uanze. Nimebaini jambo moja nyeti sana. Wanafunzi wengi waliomaliza Form Six...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana jf. Kiukweli matumizi yangu ya jina halisi humu linaninyima haki na uhuru wa kutoa maoni yangu ktk kila thread kwakuwa kama ilivyo kuna thread nyngine inakuwa na hisia kali hivyo...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Msaadaa jamanii naitajiii kama naweza nikapataaa ...JOINING INSTRACTION ya chuo ya kiomboi school of nursing ..au namba za simuu ...mwalimuuu yoyote wa chuo ichooh ...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom