Nina Mdogo wangu kamaliza form 4 mwaka jana alikuwa anataka kuapply clinical officer na mimi sina uzoefu wa maswala ya elimu Naomba msaada jamani kuhusu kozi ya clinical officer, niweze kujua sifa...
Jaman tulio apply nursing na pharmacy St Joseph college of health Tanzania tukutane hapa maana mi upande wang nimeapply nursing diploma ila bado cjapata taarifa zozote
Habari ziwafikie popote mlipo......._.
[emoji441][emoji441] _Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni mahali sahihi kwa kutokana...
Bila shaka Wana Mzumbe mpo hapa JF, nimetumwa kuwakumbuka wafuatao John Mongela, James Bwana, Michael Thomas Sebastian Sarota, Hassan Rajab Hassan, Patrick Maleva, Anderson Segereti, David Black...
**Samahani anayejua maeneo ambayo MTU aliyesoma kozi ya MOLECULAR BIOLOGY & BIOTECHNOLOGY anaweza ajiliwa au kufanya kazi anijuze hizo organization, institutions zake
Wasalaam wanajamvi.
Napenda kutoa pongezi za dhati kabisa kwa wanafunzi mliochaguliwa vyuo mbali mbali na ninyi mnao endelea na masomo.
Tunauza Laptop computer kwa bei nafuu kabisa ambayo...
Updates From:
MPELLA EDUCATION BLOG
1.0 Utangulizi
Itakumbukwa kwamba mwaka 2016 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania ilifanya ukaguzi maalum wa kuhakiki ubora katika vyuo vya elimu ya juu nchini...
Hapa ni Chuo kikuu cha Jordan Morogoro taasisi ya Vijana Initiative foundation ilipoandaa Tukio kubwa la kuwakusanya wanafunzi zaidi ya 2000 wa 4m 4 kwa lengo la kuwatia moyo katika mitihani yao...
NDUGU wanajamvi msaada
Juu ya hili mwanafunzi aliyehitimu kidato cha 4 mwaka 2013 nakupata hist,E geoE, civD, kiswB, engE, literD, biosD, bam na ku reseat 2017 kwa ku Pata civil D, his D geo D kid...
Habari za muda huu wanajamvi nimewaza sana bila kupata majibu ya maswali nayojiuliza kuhusu kuzuia kudahili wanafunzi baadhi ya vyuo kutokana na vigezo mbalimbali kikiwemo Kigezo cha elimu...
Habari wakuu,
Nikiwa natambua kuna watu ambao wana maeneo yao ambayo pengine wameambiwa kwamba yana uwezekano wa kuwa na dhahabu au wanahisi tu kwamba kuna dhahabu. Hapa nitaelezea viashiria...
Habari ndugu zangu JF
Mdogo wangu A_level alisoma HKL na amehitimu tayari na anasema angependa kusomea UHASIBU CHUO KIKUU JE ITAWEZEKANA?
Naomba msaada hapo.
Ufundishaji katika shule nyingi za sekondari za kata hauendani na haufuati mpango wa Maandalio ya Somo. Nadhani, sasa ni wakati mwafaka wa kuachana nazo. Kuna sababu hizi za kusema hayo.
Mosi...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwataarifu waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019 na umma kwa ujumla kwamba imetangaza orodha ya baadhi ya waombaji mikopo...
Nacte imetoa mwongozo kwa walioapply kwa ngazi ya certificate na diploma.kuwa masomo yataanza tarehe 15 October. Na select za majina yao zitaanza kutoka kuanzia tarehe 15 mpk 22 September.kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.