Jana katika uchunguzi wangu huru nimebaini kwamba kuwa na CPA sio lazima uwe na degree ya uhasibu, yani unaweza ukawa mwalimu na bado ukawa mhasibu mbobezi tena mwenye CPA(T).
Hii imenishangaza...
Mimi nilihitimu elimu ya sekondari 2011 na natamani kuwa dereva wa serikali katika ofisi yoyote ilimradi ni ya serikali (mfano Dereva wa mkurugenzi, Gari la wagonjwa na mengineyo). je ni course...
Mi na dukuduku hasa kwa walio chaguliwa vyuo awamu ya pili
Iv kama mtu kachaguliwa kwenye maltiple selct afu bada ya siku akatumiwa ujumbe na chuo ambacho akipo katka vile vyuo ulivyo chaguliwa...
Hapa najua wengi mtachemka sana tena sanaa tu.
Tujikumbushe formular (Kanuni) mbali mbali za hesabu iwe za shule ya msingi,sekondary au Advance?
Mimi ninayoikumbuka ni hii tu
a² + b ² = C².
...
Niwaulizeni jamani eti kati ya hizi Masters programs mbili ni ipi inafaa kwa mtu anayelenga kupata uweledi utakaomsaidia kuongeza wigo mpana mpata wa kupata fursa mbali mbali kujikwamua kwenye...
Naomba kwa yeyote mwenye uelewa juu ya hii kitu anisaidie.
Kuna vitu kama sporophyte na gametophyte generation vina nichanganya ktk hii concept..
Pia jinsi gani life cycle ya mimea kama...
Msaada natafuta mashirika yatakayo weza nipa scholarship ya kwenda kusoma nje me ni mwanafunzi nilimaliza mwaka huu na nina 1 ya 7 PCB ila mpaka leo ninavyo sema aijapata hata Chuo cha UDOM...
hivi TCU wamekosa misimamo ya kuondoa majina ambayo wameshindwa kuconfirm ili kuruhusu nafasi hewa zijazwe na watu?????halafu TCU ratiba yenu mbona hamuifuati???watu wanalia 3rd round na hakuna...
Habari ya asubuhi wakuu,, naomba Msaada Wa Ku upload cheti tena kweny tovouti ya mkopo .... Najaribu kufanya hivyo inasema file already being existed...
Samahani...najarbu Ku upload tens kweny website yao ya mikopo baada ya vyeti vyng kuwa certified by Rita...lkn chaa ajabu naambiwa file already being uploaded..sijui nafanyaje aisee naomba msaada wako
Habarini..
Nimeambiwa bodi ya Mikopo inatoa mikopo kwa wahitimu wa degree ya Sheria wanaotaka kwenda law school.
Kuna mtu yeyote anaejua namna ya kuomba mkopo wa HESLB kwa ajili ya masomo ya Law...
Wasomi naomba kuelimishwa kuhusiana na mpangilio wa elimu, namaanisha ukitoka degree ya kwanza, inafuatia nini na nini mpaka mwisho wake kama ni profesa au dkt naomba muniwekee mpangilio sahihi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.