Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu SUA ninasomea Bsc Education( geography& mathematics) ,natarajia kuingia mwaka wa 3..
kwa miaka miwili niliosoma nimejitahd kwa juhudi zangu kupata gpa ya 3.2...
Ndugu naomba mnisaidie, ukitaka kuchukua transcript Udsm kwa sasa unatakiwa uwe na vyeti vyako vya taaluma na cha kuzaliwa original au copy tu za vyeti hivyo
Habari zenu wakuu poleni na majukumu. Ivi ikitokea mwanachuo akakosa kufanya mitihani kwa kukosa ada then akaomba kufanya mitihani ya special lakini akashindwa kutokana na tatizo la kukosa ada...
Ndugu kwa ambae anafahamu shule nzuri ya wasichana yenye gharama nafuu anisaidie, kuna mtoto wa dada yangu kamaliza mwaka huu darasa la saba na wazazi wamechelewa kumtafutia shule, kwa anaejua...
Baadhi ya vyuo second round selections bado haijatoka huku third round of applications imeshafungwa.
Third round sikuapply kwasababu nilikuwa nasubiri UDOM na MZUMBE watoe second round , mpaka...
Mama mmoja aliamua kumtembelea mtoto wake wa kiume anayesoma chuo kikuu katika HOSTEL aliyopanga ili wale chakula cha jioni pamoja..
[emoji492][emoji502][emoji1640][emoji895]
Alipofika hapo...
wadau Mimi nimechaguliwa DUCE BED ARTS kozi hii niliweka chaguo no 7 asa ndo nmedondokea hiyo hyo sasa nilkuwa naulza.he nkiomba tens vyuo vingine itakuwaje apo badae hasa kwenye suala la mkopo...
Mi nimechaguliwa chuo cha ifm coz ya insuranse and risk management. Je naweza badil kwenda bank and finance? Nimesoma hge nlkua na two ya kumi bt F ya bam
Wakuu naomba kuuliza kwa waalimu wa ajira mpya. Kuhusiana posho ya kujikimu na salary tangu kuripoti kituo cha kazi. Huko kwenu vipi? Vipi kunadalili zozote au turudi maskani hadi miezi mitatu...
Nimepigiwa simu na dogo amechaguliwa combination ya EGM au CBG nimshauri achague ipi. Nikajiuliza,Hivi kuna uhusiano gani wa moja kwa moja kati ya Economics na Geography kwa EGM. Pia kati ya...
China is sending science students to live with rural farmers - and crop yields are skyrocketing
Improving the livelihood and life of smallholder farmers
Living on a farm and growing crops...
habari wadau..
natafuta contacts za viongozi wa serikali za wanafunzi dar..
kama unasoma ifm, tia, ustawi, tudarco. nyerere, cbe, duce, etc please please niipatie namba ya member yeyote ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.