Binadamu kuishi milele kama jaribio la kuonganisha ubongo na mfumo wa kompyuta litakamilika
Je unatamani kuishi milele?. Huko nchini Marekani mjasiriamali mmoja wa masuala ya teknolojia, Eloni...
Nilikuwa na swali kidg ngependa kujua
Kuna coz inatolew udsm inaitwa Bachelor of arts in public relatn and adiverts
Ngepend kujua hii inahusu nn?
Soko lake la ajira ?
wamalizao katk hii coz...
Habari JF,
Leo nimegutuka baada ya Mkenya mmoja anafundisha shule ya watoto hapa Dar kumkuta anawasiliana kwa bidii na Mkenya mwenzie aliyepo Afrika Kusini (AK) kwa mchongo wa kwenda kufundisha...
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imesitisha masomo na udahili wa wanafunzi wapya kwa ngazi zote za masomo na katika programu kwenye baadhi ya vyuo vikuu kutokana na kukosa vigezo.
Pia imefuta...
Ni katika jitihada za kuwasilisha malalamiko yangu kwa niaba ya vijana wenzangu. Zoezi hili la udahili kwa mwaka 2018/19 limegubikwa na sintofahamu kwani nadhani hakuna link baina ya TCU na vyuo...
Wakuu habarini....
Hivi inawezekana mtu kusoma degree course mbili tofauti kwa kipindi tofauti...
mfano sahizi nasomea bachelor of science in education ila nataka nikimaliza niende nikasomee...
Nasikia vyuo vya nacte kwa waliiomba diploma ya afya vinafunguliwa kuanzia tarehe 15 mwezi wa kumi sasa ndugu yangu mmoja kaomba diploma ya clinical medicine lakni mpka leo hajapata majibu msaada...
Naomba kuuliza kwenye UHAKIKI PORTAL -RITA
ukishatuma information inachukua muda gani kupata majibu
Na kwenye kutuma files I mean risit na PDF copy ya cheti , tunatuma kama file moja au...
Habari zenu waungwana,napenda kuwauliza kile chuo cha kiislamu niliambiwaga wanatoa kozi za cheti kwa fani za maabara,sasaiv nimeambiwa wameongeza mpaka diploma kwa kozi za maabara,je ni kweli...
Akiwa Darasa la Kwanza:
Mimi nikiwa mkubwa nataka niwe Daktari
Akiwa Form One:
Malengo yangu mimi nataka niwe Engineer
Akiwa Form Five:
Najiandaa kuwa Mwanasheria, nataka niwe na ofisi yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.