Habari Wapendwa,
Mods Tafadhali, ikibidi Hamishieni Uzi huu kwenye Jukwaa la dini/Imani
Habari za Jioni,
Hii ndoto imekuwa ikijirudiarudia hivi sasa kiasi kwamba Karibu kila wiki ni lazima niote...
Wapendwa Wahitimu Kidato cha Sita 2018,
Kwa Heshima kubwa, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kinawapongeza sana kwa kuhitimu masomo yenu na kufuzu vizuri kupitia matokeo ya mtihani yaliyotangazwa...
Wanajamvi habarini za muda huu
Naomba kwa mwenye samples za research katika kada ya education anisaidie kuweka hapa sample hizo
Natumaini wadau mtanisadia na kunishauri katika hilo
Natanguliza...
Sifa: Awe na uelewa mzuri wa lugha ya Kiswahili na Kingereza, awe anajua kutumia computer hasa Microsoft word. Awe amesomea masomo ya lugha hasa kingereza. Awe mchapakazi na mwaminifu. Akiwa na...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwataarifu waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019 na umma kwa ujumla kwamba orodha ya baadhi ya waombaji mikopo ambao fomu...
Habarini za asubuhi wana JF
mimi nimechaguliwa Automobile engineering pale NIT Dar lakini kwa kuwa sina ufahamu mzuri kuhusu hiyo kozi nataka kubadilisha nikasome mechanical naomba ushauri wenu...
Habr wana jf tukiwa tunaendelea na maombolezo ya taifa naomba kuleta hii kero yangu hii hum ndani
Km kichwa kinavyo jieleza NACTE wamekuwa wazembe na wavivu sana ni heri wafutwe ili hata kam ni...
Kama title inavyoeleza,nipo kidato cha sita PCB ,somo la biology kwangu limekua ni tatizo kidogo.Kila ninapofanya mtihani marks zina range 45_60,licha ya kwamba biology ktk combination yangu ndio...
Nimejaribu kupitia shule zilivyofanya vizuri sijaona A wala B za Physics!Hata aliyeongoza ni PCM mwenye A in Chemistry and Math na C ya Physics.Kumetokea nini kwenye hili somo wakuu?Mtihani...
Wakubwa naomba kujua, career ya uhifadhi katika mbuga za wanyama au mapori ya akiba inahitaji msomi alisomea fani gani ama course gan....na je ni vyuo gani hapa Tz vinatoa mafunzo hayo?
Daaa nawakumbuka sana awa jamaa walio somaaa memkwaa ...wanakuwaga wakolofii sana yaaniii si wanakuwa wakubwaa ..nimesomaa shule moja ivii inaitwaa ''azimio pr skul mwaka 2005 kuna jamaa alikuwa...
Kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Chuo cha Usafirishaji cha Taifa kimepewa dhamana ya kuendesha mafunzo ya kozi mbalimbali kuhusu usafiri na usafirishaji pamoja na kozi kuhusu wahudumu...
Hiii picha ni ya mwaka 1888 ikimuonyesha bwanna JS Kenn akitoa adhabu ya fimbo kwa wanafunz nchini Australia.
Utaratibu wa kuwaadhibu wanafunzi kwa fimbo ulienea katika makoloni ya Uingereza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.