Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ndugu wanaukumbi, Nimekaa nikatafakari sana. Kuna wanafunzi wengi sana nchini wanavigezo vya kusoma elimu ya juu lakini hawana vigezo vya kupata mkopo toka bodi ya mikopo. Je wakatize ndoto...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Kuna dogo alipata 3 akaapply diploma, lakini kila nikimuuliza anasema majina hayajatoka. Hivi ni kweli au ananipiga kamba?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
UNAKIKOSAJE KITABU KAMA HIKI KWA MFANO!! Kitabu hiki ni kizuri sana kwa wanafunzi wa ngazi zote. Lugha yake na mifano iliyotumika inamfanya mwanafunzi kuelewa kirahisi na maelekezo yaliyotumika...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Walio confirm udsm
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kama ilivyokuwa toka kitambo kwa kijana wa kitanzania akimaliza form six na akabatika kupata nafsi ya kujiunga na chuo huona km sasa yeye ni specially kwa mambo yote ya kisomi na kijamii...
2 Reactions
32 Replies
9K Views
Habari Vijana someni sana muwakilishe Tanzania nje ya nchi maana nimegundua huku pentagon ninapofanya kazi sasa hivi kama Electrical engineer kuna mtanzania mmoja tu ambaye ni Mimi. Jitahidini...
12 Reactions
124 Replies
12K Views
Niulize swali lolote lile kuhusu literature nami ntakujibu
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimepata kufundisha shule tatu za kata aisee Kwa watoto hata ufundishe mmoja mmoja hawaelewi mpaka wanatia hasira.mnao fundisha shule za kata nipeni maujuzi mnafanyaje wenzangu.
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakubwa Zangu Shikamooni Mimi Kama Kijana Wenu Age 20 Nina Ndoto Zakuja Kuwa Msomi Mkubwa Sanah Katika Masomo Ya Uchumi So Nivitu Gani Nifanye Ili Niweze Kufikia Ndoto Yangu Kipi Ni Boreshe...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
hasa kama unasubiri ajiraa achana nayo ..tumi mieziii sita ivii usomee mambo yaku exchangee....pesaah ..kupitiaah phone yako ...ukiwa vzr tuu ..kwa mwezii unauwezooh wakuingizaa more 1...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Naomba kuuliza kuhusu staggered semister ya mzumbe university inahusu nini na kwa nini haipo kwenye nyuo vingine vya Tanzania
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimemaliza form 4 mwaka 2006 ..nakupata bcc katika masomo ya pcb..nimeapply nacte mwaka huu diploma ya medical laboratory je naweza chaguliwa chuoo cha serikali ..naomba ushaurr nimetingwaa wadauu
0 Reactions
17 Replies
9K Views
habar naomba kuulza muhtimu wa kidato cha nne alopata alama c kwenye eng na d kwenye kisw anaweza jiunga na chuo cha uandishi na utangazaji kilcho bora..??
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanasiasa hasa (wabunge) wa CHADEMA, wanaohama chama chao na kujivua ubunge sababu kubwa wanazotoa ni, chagua jibu SAHIHI kwa haya yafuatayo:- (A) Kuunga mkono jitihada na Juhudi za rais wetu...
0 Reactions
4 Replies
887 Views
Daaa naanza kuogopa sasa maana nikikosa mkopo ndo muda wa kuwa mangi na mimi maana vyuo vya private ada yake ni hatari jamaani.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimechaguliwa kujiungUDOM ila ninahitaji kuihama kozi ambayo nimechaguliwa!! Je kuna uwezekano wa kuhama kozi hiyo na kama upo je ni hatua gan nitahitaji kuzifuata ili kuihama kiurahisi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mkoje na hali Wakuu wa JF?, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo huu, binafsi na kwa maslahi ya wengine wasiofahamu hili nilikuwa naomba kufahamishwa ni lini selection zitatoka kwa waliotuma...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakubwa Kuna mtu kachaguliwa kozi ya Bs of science in health information systerm sasa hanayejua hii kozi hinahusika na nini na ajira zake zkoje Nawakirisha na maoni yenu[emoji120]...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana jamii forum polen na majukumu Nina mdogo wang amemaliza darasa la 7 namtafutia shule nzuri ya girls tupu yenye ufaulu mzuri na ada nafuu kidogo Yeyote aniambie napokea ushauri wa wote
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kuuliza Nataka kutuma maombi ya usahili ili niweze jiunga na chuo cha Mifugo au cha Misitu, mwisho wa kutuma maombi ni lini? kwani nilikua nasubiria secondsellection lakini sijachaguliwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom