Nakumbuka Enzi Za Secondary Mwalimu
Anatufundisha Topic Flan Kwa Ufupi Then
Anatuambia '' UKU TUNAWAGUSIA TU
MKIFIKA CHUO MTAFUNDISHWA ZAIIDI''
Tulivo kuwa Chuo Lecture Alituambia
''NAWAGUSIA...
1. POLICE-Prevention of Law and Investigation of Criminal Events(Hii ni kirefu cha kimataifa)
2. CRDB-Cooperative and Rural Development Bank
3. PPRA-Public Procurement Regulatory Authority
4...
Nashangaa sana nna wadogo zangu wawili wamesomea ualimu lakini cha ajabu kwenye zile application za miezi kadhaa ilopita mmoja kachaguliwa kua mwalimu pwani na akiwa na GPA ya 2.9 AF mwenye 3.8...
TCU ilitangaza ingetuma code kwa wanafunzi walio dahiliwa na vyuo zaid ya kimoja.. Kwa njia ya sms ili waweze kuchagua au kuthibitisha ni chuo gani wanaweza kujiunga navyo lakini TCU haijaweza...
TCU ilitangaza ingetuma code kwa wanafunzi walio dahiliwa na vyuo zaid ya kimoja.. Kwa njia ya sms ili waweze kuchagua au kuthibitisha ni chuo gani wanaweza kujiunga navyo lakini TCU haijaweza...
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu (2018) na matokeo yafuatayo;
Economics D
Commerce A
Accountancy B
G/Studies E
BAM E
Tatizo ni kwamba o'level nilipata F ya B/MATHES na D ya Book...
Habari zenu wapendwa.Naomba kuuliza juu ya kozi iitwayo bachelor of education in science inahusu nn asa,pia pia yafaa mtu Ku specialize katika masomo yapi hasa.physics,chemistry au biology...
Wadau habari zenu..... ni kuhusu kozi ya B. in urban development and Environment management je nini future yake na ajira je zinapatikana... Pia ukilinganisha na Project planning management ipi...
Wakuu nimepata multiple selection.
Nimechaguliwa SUA Bachelor of records and information management wakuu. Inahusika na carrier gani haswa?
Nimechaguliwa pia Mzumbe bachelor ya Business...
msaada wadau mwenye kujua kuhusu hiyo kozi ya PPM ,, kama inaweza kumsaidia mtu ajira ama kujiajiri na msaada huku ukiringanisha na urban planing and environmental management.
Baada ya kusubiri kwa masaa, siku, na sasa wiki hatimaye TCU leo wamenitumia zile "code".
Sasa niwaulize TCU code hizi mnazonitumia leo zina msaada gani kwangu iilihali deadline ya kufanya...
Hatimaye Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) yaanza kutoa orodha ya waliopokelewa Vyuo Vikuu kwa kudunduliza.
Finally TCU University Admission Results are out in drips and drops
After nearly four...
Habarini wakuu,
Naulizia kwa anaeijua hizi shule za Fountains of Joy na Mount Moriah zilizopo Mbezi kuna vijana wangu nataka kuwapeleka mojawapo ya hizi shule, mmoja darasa la 3 mwingine Nursery...
Message…napenda kujua kinaendelea nini mpaka muda uhuu kwa wale WA multiple Walio fanya confirmation Tayar na ambao wamewasiliana na vyuo husika. Mana udahili awamu ya pili umefungulia ila hatima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.